Recent content by Mkulubilanga

  1. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yazitaka nchi jirani kusaidia kukabiliana na Wanamgambo, yasema mashambulizi yanaweza kusambaa ukanda mkubwa zaidi

    Yaani ni kutiana umasikini tu pamoja na huu tuliokuwa nao toka mwanzo lakini tatizo ni kuwa Waafrika hatujitambui utakuta kuna watu wanawaifadhi kwa kigezo cha waislam wenzao.
  2. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Temeke, Dar: Mwenyekiti wa Mtaa aliyepita bila kupingwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa Tsh. Milioni 12

    Huyo ni chizi auwezi kuiba pesa nyingi hivyo kwa kununua kazi ambayo mshahara wake auko wazi (aueleweki)
  3. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwalimu mbaroni kwa kujifanya Askari Polisi

    Hapo hakuna ushaudi wowote unaonesha yeye ni taperi mtu anayo kazi yake halali unamwita taperi tatizo liko wapi
  4. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Naomba msahada hapa Sheria inasemaje

    Mimi nilikuwa msimamizi wa mirathi katika mirathi hiyo kulikuwa na shamba kuna watu walinishitaki wakidai shamba ni lao waliuziwa hivyo nikafikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kesi ilifanyika hapo kwa miaka 3 na ilipotolewa hukumu mimi nilishinda kesi nikadai mpaka ghalama za kesi nazo...
  5. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tatizo langu lishatatuliwa natoa shuklani sana kwa mafundi na manager wao kwa kulijali suala hili manager alikuja jana baada ya kuona suala hili leo kaleta mafundi na tayari washarekebish Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari ya leo nashukuru kwani tatizo langu limeshalekebishwa leo hii kumekuwepo na ushirikiano mkubwa katika suala hili na manager alifika kujionea mwenyewe suala hili jana na leo wamekuja mafundi kulirekebisha wamefanya kazi mzuri kwa ufupi nami natoa shuklani katika kufanikisha suala hili...
  7. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    0766281217 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    0766281217 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mnenipitishia waya za HT kwenye nyumba yangu nimekwenda mkuranga kulipot baada ya muda wakaleta nguzo ili waamishe wakaoneshwa pa kuhamishia lakini hao wakalazomish wapitishe sehemu ya mtu mwingine wanayotaka wao sasa mwenyewe kagoma cha kushangaza wanalazimisha waya zibaki hapo hapo...
  10. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    kulikuwa na sababu gani easiyaseme kabla ya wao kusemwa kutokana na sababu hiyo inawezekana ikawa unafiki wa kulipa kisasi Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  11. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania msaada natafuta kioo cha lcd lg inch 32 nasikia vinaingiliana

    ndugu waungwana mimi naitaji kioo cha flat screen lcd (LG) 32 inches changu kimepasuka kwa hiyo mwenye nacho au kwa anayejua wapi nitakopokipata
  12. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Nimekosa mwanaume 'serious'

    Kama ndio hivyo utalia sana tu
  13. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi TANESCO wasimamishwa kazi, mmoja ajiuzulu!

    sawa sawa kabisa maana tanesco walijiona miungu watu
  14. Mkulubilanga

    JamiiForums Tanzania Mume wa mke niliyempa ujauzito ananitafuta anipongeze

    Nenda ukapongezwe
Back
Top Bottom