msaada natafuta kioo cha lcd lg inch 32 nasikia vinaingiliana

Mkulubilanga

Member
Sep 23, 2013
40
16
ndugu waungwana mimi naitaji kioo cha flat screen lcd (LG) 32 inches changu kimepasuka kwa hiyo mwenye nacho au kwa anayejua wapi nitakopokipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom