Recent content by mkulu katimba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la serikali - mishahara ya Mei ni tar 03/ Juni

    Usiongee kwa wingi,ulizia kwanza mikoa mingine upate jibu,wilaya ya mbozi mshahara tayari labda kama ndo umereport april
  2. M

    JamiiForums Tanzania Poleni watu wa Kigamboni hiyo ndio CCM

    Duh kweli watu ni walalamikaji manake huo umeme umekatika hadi mbagala charambe huku,vp huku nako wanadai fidia?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

    Kweli nilidhan wao watakuwa watetezi lkn kumbe wanachukulia situation kama hii kama mtaji wa kisiasa,huu si ubinadamu hata kidogo,nimeshuhudia mpangaji mwenzangu akiwa kwenye mateso makubwa. Napenda cdm lkn kwa hili tunapoteza credit kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jamii

    Asante Serio
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jamii

    Naomba mnipokee ndugu yenu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni umbulula wa raia au siasa za CHADEMA, NCCR na CUF zimekwama wapi?

    Mhhh,wewe uko wapi? We sio mtanzania?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana roho mbaya sana

    Wamesahau kuwa wasitizame kibanzi ndan ya jicho la wenzao ilhali boriti li kwao. Daima wanawake tumeumbwa na moyo wa kusamehe na kuanza maisha mapya,binafsi nimekusamehe tangu nilipomaliza kuisoma thread yako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kipanya kalewa sifa na kukosa uzalendo sasa

    Yuko sahihi kabisa ktk hili,koz wanachokifanya hakistahili kabisa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Ya kaisari mpe kaisari na yake Mungu apewe Mungu,nadhan hao wamesahau hilo,ni vema kuendana na sheria iliyowekwa na vyuo ili kuepukana na makosa haya
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM itachukua nchi 2015?

    Ni sahihi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda picha hii ya Dr Slaa

    Usihukumu kwa mwonekano wa nje,kwan mara nyingi hausadifu yaliyo ndan
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

    Hivi kwenye rasimu ya katiba kulikuwa na kipengere kinachomtia hatian kiongoz alovurunda mara baada ya kumaliza muhula wake?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Pia tupo watz wengi tuloandikishwa lkn hatuoni mgombea mzalendo wa kumpigia kura tumekaa tu na kadi zetu,,elimu ndo kila kitu juu ya hili
  14. M

    JamiiForums Tanzania NYERERE ndiye aliyefanya makosa na anastahili kulaumiwa katika swala la muungano

    Kabisaaa,,,,,baada ya kufikiri namna ya kutatua hili tunamlaumu mtu ambaye hayupo dunian,hivi ni lini watanzania tutathink critically?
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

    Hata mie nakubaliana na ww
Back
Top Bottom