CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

I don' t know why
I keep believing
That one day, they' ll bring us together
When they' ve shown
In more ways than one
That all they care about is the dollar
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses
If we don' t take control
Of the situation
We' ll stay forever in this ya commotion

Chorus: (x3)
These guns and the roses
That we' ve got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of
Togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins
Now we are judged
By the colour of our flags
Let us unite
Against being divided
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Let us take control of the situation
Otherwise we' ll be trapped in this

Chorus: till fade

Lucky Dube
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.
Kazi ya CHADEMA bado iko sawa.Hata chama mbadala kikipatikana hakitafanya tofauti na yanayofanyika sasa hivi.
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

Huwezi kuwa na chama kama CHADEMA chenye viongozi amabo hata historia haiwasaidii kuwapa maneno ya kutamka kwenye majukwaa ya kisiasa. SLAA hana hata historia ya hatua zilizopitiwa hadi kufikia MAPINDUZI YA VIWANDA HUKO ULAYA? eti wanahitaji mwaka mmoja kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Nakumbuka juzijuzi akasema akiwa Rais atahalalisha gongo, anataka kutuambia wanywa gongo ndiyo wataifanya tanzania kuwa nchi ya viwanda kweli? Sioni hata haja ya kuwa na chama mbadala zaidi ya CCM kama maono yao ni ya ajabu kiasi hiki.
 
Kazi ya CHADEMA bado iko sawa.Hata chama mbadala kikipatikana hakitafanya tofauti na yanayofanyika sasa hivi.

CHADEMA wanywa viroba, wanaotaka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja? wanaotaka kuhalalisha gongo? hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kazi ipo. Hawa jamaaaa hawana shule ya kufanya lolote katika nchi hii. Watu kwa kutaka umaarufu eti wanakwenda kuungana na wamachinga kuuza soksi eti ikiwa ni njia ya kuonesha kuwa wanangana na wanyonge? wanaokusanya pesa kwenye mikutano ya kampeni huku wakiruka angani na helikopta tatu kila siku? bado sijaona usanii wa aina hii kwenye siasa.
 
I don' t know why
I keep believing
That one day, they' ll bring us together
When they' ve shown
In more ways than one
That all they care about is the dollar
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses
If we don' t take control
Of the situation
We' ll stay forever in this ya commotion

Chorus: (x3)
These guns and the roses
That we' ve got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of
Togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins
Now we are judged
By the colour of our flags
Let us unite
Against being divided
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Let us take control of the situation
Otherwise we' ll be trapped in this

Chorus: till fade

Lucky Dube

imekaa vizuri.
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi
ya kweli Tanzania.

Hii kitu ipo chini ya makapeti,we great thinker umeipataje hii ati!!
 
Kama chadema hawatatoa tamko kupinga mafao ya wabunge kwa miaka mitano tu anapewa milion 160. Basi wao ni wamoja hakuna tofauti kati ya cdm na ccm hata licard lao narudisha.
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.
anzisha unasubiri nini?
 
kiwa na akili ndogo kamwe huwezi kujua lolote kuhusu siasa za chadema ,so kwa akili yako huna namna ni lazima utasema ivo! Ila ukiendelea kukua na akili ika komaa nadhani utakuwa na mawazo ya tofauti na hayo uliyo nayo sasa
 
I hope unatambua sisi wenye akili ndogo ndio wapiga kura, tena kura ambazo mna zinahitaji kupata hayo madaraka. Chadema kiongozi wenu Mbowe anatupiwa shutuma kubwa ya kuchukua pesa kwa fisadi halafu bado mnapigia debe, chama chenu kinashindwa ku account hela ya ruzuku halafu mnatuahidi mtakuza uchumi anyway kama unavyosema akili zetu ndogo kuelewa siasa za Chadema.
 
anzisha chama

Nimeazisha hii thread sio kuponda tu hivi vyama bali kufungua watu macho sio lazima kila mtu akimbilie kuanzisha chama. Kwanini wanachama wa CCM na Chadema wasidai mageuzi ya kweli ndani ya vyama vyao? Kwanini wanachama wanashabiki uozo ndani ya vyama wakati wakijua kata mienendo yao haiendani na mageuzi wananchi wanayotaka.
 
Huwezi kuwa na chama kama CHADEMA chenye viongozi amabo hata historia haiwasaidii kuwapa maneno ya kutamka kwenye majukwaa ya kisiasa. SLAA hana hata historia ya hatua zilizopitiwa hadi kufikia MAPINDUZI YA VIWANDA HUKO ULAYA? eti wanahitaji mwaka mmoja kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Nakumbuka juzijuzi akasema akiwa Rais atahalalisha gongo, anataka kutuambia wanywa gongo ndiyo wataifanya tanzania kuwa nchi ya viwanda kweli? Sioni hata haja ya kuwa na chama mbadala zaidi ya CCM kama maono yao ni ya ajabu kiasi hiki.

mbona habari za gongo mnamng'ang'ania Dr Slaa tuu? Nimewahi kuwasikia viongozi wengi tuu wa CCM wakiongelea the same issue, malecela being one of them, na aliongelea kisa cha kuanzisha kiwanda cha konyagi kuwa kilikuwa na malengo hayo ya kuhalalisha gongo!

Inawezekana una ukosefu wa exposure, you visit malawi, zambia, zimbabwe, gongo ni bidhaa tuu nzuri na inaongeza mapato yao ya ndani, nadhani niliyo yaandika ushawahi kuyasikia
 
I don' t know why
I keep believing
That one day, they' ll bring us together
When they' ve shown
In more ways than one
That all they care about is the dollar
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses
If we don' t take control
Of the situation
We' ll stay forever in this ya commotion

Chorus: (x3)
These guns and the roses
That we' ve got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of
Togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins
Now we are judged
By the colour of our flags
Let us unite
Against being divided
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Let us take control of the situation
Otherwise we' ll be trapped in this

Chorus: till fade

Lucky Dube

Very interesting
 
Huwezi kuwa na chama kama CHADEMA chenye viongozi amabo hata historia haiwasaidii kuwapa maneno ya kutamka kwenye majukwaa ya kisiasa. SLAA hana hata historia ya hatua zilizopitiwa hadi kufikia MAPINDUZI YA VIWANDA HUKO ULAYA? eti wanahitaji mwaka mmoja kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Nakumbuka juzijuzi akasema akiwa Rais atahalalisha gongo, anataka kutuambia wanywa gongo ndiyo wataifanya tanzania kuwa nchi ya viwanda kweli? Sioni hata haja ya kuwa na chama mbadala zaidi ya CCM kama maono yao ni ya ajabu kiasi hiki.

Usikariri maisha wewe! Wewe historia yako ilianzia wapi? Kila historia inamwanzo wake hivyo hata historia ya dr. Slaa kisiasa iliasha anza kipini tu labda kama ulitaka ianze kabla ya wakoloni!
 
Ningependa kujua kama kuna watu wengine wana share belief yangu hii nchi bado inahitaji chama kingine au wagombea binafsi kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

unamaana CCM iliongza then ikaja CHADEMA na hujaona mabadiriko! utakuwa mwana CCM and unatafuta pivot, you wont get one, CHADEMA inachafuliwq ati ili onekane sawa na CCM, suala la Mbowe na Dubai katibu wa bunge aliliongelea kiunagaubaga lakini habari yake haikupewa kipaumbele for some reasons, najua ni kwa ajiri ya watu kama wewe ili mje na hoja kama uliyoiandika hapa, ila umechemka na hoja yako haina mashiko kwani mpaka sasa chama unchoeza kukifanyia tathmini ni CCM tuu!
 
Huwezi kuwa na chama kama CHADEMA chenye viongozi amabo hata historia haiwasaidii kuwapa maneno ya kutamka kwenye majukwaa ya kisiasa. SLAA hana hata historia ya hatua zilizopitiwa hadi kufikia MAPINDUZI YA VIWANDA HUKO ULAYA? eti wanahitaji mwaka mmoja kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Nakumbuka juzijuzi akasema akiwa Rais atahalalisha gongo, anataka kutuambia wanywa gongo ndiyo wataifanya tanzania kuwa nchi ya viwanda kweli? Sioni hata haja ya kuwa na chama mbadala zaidi ya CCM kama maono yao ni ya ajabu kiasi hiki.

Naunga mkono hoja...
 
Back
Top Bottom