mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Kweli mishahara ya umma imetoka au mnajikomba kusifia tu?
Mishahara mbona imetoka kitambo sana huku kwetu au ninyi mnaishi wapi??????????????
Kweli mishahara ya umma imetoka au mnajikomba kusifia tu?
Usinilishe maneno bwana, nilichotaka kukisema na nilichomaanisha ni hicho nilichokiandika. Mengine umeyasema wewe bwana!!!!!Unamaanisha nini? waache kazi, serikali iajiri wasomali kisa mshahara umechelewa?
Hiv tazara ni wafanyakazi wa serikali gani mpaka msimwamini mtu wa wilaya ya mbinga tazara wana miezi mitatu
MIMBWA YA CCM ------- SANA MBONA MNATUFANYA WAFANYAKAZI WAJINGA? MIMI NI MWL.WILAYA YA KINONDONI HAKUNA ALIYEPATA SALARY MPAKA SASA HALAFU KUNA MAJITU HUMU YANALETA SIASA,sasa maviongozi yao yanasomba watu na malori wanawajaza kwenye mikutano kwa kuiba fedha za umma hadhina chini shetan mwigulu yanafanyia siasa kodi zetu.
Unajua watanzania tunafanyana hamnazo sana..hapa vijana wa ccm ndo wanaokuja kujidai wamepata mshahara ili kuitetea ccm..tuache ujinga bana..
Ni kweli jamaa hazina amethibitisha
tangu tar 23 mshahara ipo labda huko kwako tu shida