muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
Na wale wanaume wanaolawiti vitoto vichanga umewaacha wapi?kama hyo ndio concept basi uneongeza na wanaume wana Roho mbaya zaidi
mkuu naamin hayo yote aliyajua kabla ya kubeba ujauzito and infacts huo ni wajibu wao1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.
2. Akapata uchungu mkali wakati anakuzaa.
3. Hakulala usingizi akikubembeleza na kukunyonyesha na kuharibu ujana wake kwa ajili yako!
4. Akifua matapishi na mimavi yako kipindi unajinyea
5. Akakusomesha hadi umekuwa na pesa kidogo, hadi umesahau kila kitu na kuanza kumsemea mbaya MAMA yako ambaye ni Mwanamke!
mimi nina mifano ya wamama waliowapenda watoto wao wa kambo na at the end of the day,they ended up being the bad ones!nina mifano ya baba wa kambo waliowageuza watoto wa kike na kiume kuwa wake zao!nina mifano ya housegals waliokua treated like part of the families and ended up sleeping with the husbands,robbed houses,walichoma watoto kwenye oven,walikula chakula cha watoto and left them hungry!one thing,be the change and dont expect people to do the same always,usijudge wote kisa wale uliowaona ni negative..toa solutions/advice bwana,stop pointing fingers on people(especially the opposite sex)while deep down your heart you know that hata nyie kuna mambo mabaya mnafanya!.tena sana!
Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
mbona unado na hao hao wanawake?
Wanaume wana roho nzuri sana ndio maana duniani hakuna ubakaji, hakuna vita yaani dunia ina amani sana. Hakuna watoto waliokataliwa na baba zao yaani ni wanaroho nzuri sana. Mungu azidi kuwabariki!

hii ni baraka ama laana?
Bibi com umenichekeshajee
ni baraka dear maana thread za wanawake kuwa na roho mbaya zimezidi kana ya kwamba wengine ni malaika. cha muhimu ni kuwabariki Mungu ndio mwenye uwezo wa kuwalaani.
Shukuru sana mwanamke maana you whole existence was made possible by a woman!Wanawake wana roho mbaya sana na sijui ni kwanini. Ukitaka ku prove fuatilia haya hapa.
1. Wanavyoishi na ma house girl
2. Wanavyoishi na watoto wa kambo
3. Wanavyoishi na wakwe zao
4. Wanavyoishi na mawifi.
Na pia angalia mwanamke akawa Blandina Nyoni fulani hivi usipime huo moto wake kwa wanawake wenzake.
1. Hebu akangalia mwanamke alivyokutunza miezi tisa tumboni huku akiteseka na masickness kibao.