Recent content by Mkudisingo

  1. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

    Sikuandika popote naomba kushare uzoefu , nilisema natafuta vits ya milion 3
  2. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

    Sasa nitauziwaje boda boda ikiwa nitatest kwanza?
  3. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

    Ticha hakuwa na ufahamu na magari iko wazi
  4. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Natafuta gari aina ya Toyota Vits ya Milion 3

    Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
  5. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Hakuna Jambo gumu kama kupambana na mwenye Haki

    Nimejiona kwenyevhii article nimejua nirekebishe wapi !
  6. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Mtaani nakoishi wanahisi nauza dawa za kulevya kutokana na maisha nayoishi

    Mimi ni trader nina kuelewa sana , Ukiwa na tuakili akili pia wakati mwingine ni changamoto
  7. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini na ubaguzi wa rangi, picha hii yazua taharuki

    Mungu kuumba watu weupe na weusi sio tatizo,nikama kusema kwanini mungu aliumba aina nyingi ya viumbe .swali lako halina maana !
  8. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Hawa Wazungu wametudanganya na kutacha hatujielewi

    Asante mkuu ,swali lake jepesi sana watu wanatakiwa waulize maswali magumu
  9. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Wakinga na wazungu kwa Nini Wana majina ya ajabu?

    Wakinga ni moja ya makabila yenye watu makini sana wasomi wengi pamoja na wafanyabiashara wakubwa ,umakini wao huanzia kwenye kutungia majina watoto au vitu ,wao huamini sana katika nguvu na maana ya jina kwani brand huanza na jina, hii hufanywa either kwa kujua AMA wao kutokujua kwasababu Asili...
  10. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Old is Gold: Good music never dies

    wale mdugu zangu wapenzi wa muziki nawakaribisha ku pakua aplication ya muziki yenye mb 4 tu utapokuwa nayo utaweza kusikiliza mziki online na kudownload pia utaweza kupata notification ya mziki mpya kila utapoingia, tume collect muziki mzuri duniani kote hivo utaweza kutambua mziki mpya na...
  11. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    shetani anaitafuta hii nchi kwa kila hali Mungu aitetee na kuilinda nchi yake Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mkudisingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UTAFITI-Wanawake wanavutiwa na hii

    Mbona Mbuzi wana shindia nyasi lkn kwenye swala la harufu hakuna anae wapiku Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Naomba tupeane ushauri wa jumla kilimo vs ufugaji

    Huwaga inatakiwa mtu yemwenyewe awe tayari na msukumo wa kitu flan, ukishaona umeanza kuuliza watu wengine ndoto zako ni hatari sana.
  14. Mkudisingo

    JamiiForums Tanzania Mambo mazuri yanahusishwa na Shetani, Mambo mabaya yanahusishwa na Mungu

    Unajua mchakato wa kutafuta mafanikio mpaka kujakuyapata ni mgumu sana wengi wanaishia njiani na wengine hawaoni hata pakuanzia.. Inapotokea mtu kafanikiwa mwingine inamshitua sana tena sana sana maskini ndio wanasemaga amenda kwa Mganga... Yani ukifanikiwa huwashitui wenye mafanikio unawashitua...
Back
Top Bottom