UTAFITI-Wanawake wanavutiwa na hii

UTAFITI-Wanawake wanavutiwa na hii

Tafit nyingine ni yuzifuli sana kwa hawamu hii ya anko magu.
 
Utafiti mpya uliofanywa Australia umeonesha kuwa wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wenye tabia ya kula mboga za majani kwa wingi.

Timu ya Watafiti kutoka Macquarie University, Australia wamebaini katika Utafiti wao kuwa wanaume ambao hutumia mboga za majani na matunda kwa wingi huwa na rangi nzuri ya ngozi, hunukia vizuri na wanakuwa na afya nzuri zaidi kuliko wanaume wanaokula vyakula vya wanga kwa wingi.

Watafiti hao pia wamebainisha kuwa wanaume ambao wanapenda kula nyama kwa wingi miili yao hutengezeka harufu nzito ambayo haijabainishwa kuwa ni nzuri au mbaya wakati wale wanaopenda kula vyakula vizito vya wanga hutoa harufu isiyo nzuri.
vegetables-660x400.jpg


Source:millard ayo
Mishkaki ya barabarani ni mitamu sana,acha mambo zako wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mimi nakula dagaa lakin navutia balaa kwa ucheshi tu tukikaa tukapiga stories na mdada anafurahiii mwenyewe mpaka anatamani kama kila siku tukutane au huko sio kuvutia, labda wanawake wa Australia ndo wanapenda waume wala majani sio wa huku.
 
Back
Top Bottom