Tatizo kubwa nikuwa watu wanajua mambo ya ndoa sn kabla hata ya kuingia kwenye ndoa na pia watu wanajiandaa mno na huwa wanaingia kwenye hii bond ya ndoa na majibu ya changamoto ndo mana hata ukijaribu kufuatilia aina ya maoni ya wadau wanayotoa utaona kuwa watu wameshaandaa majibu ya ndoa...
Kwani wakati akitoka cuf kulikuwa na remote gan nyuma yake ambayo kwa sasa ndo ionekane,hii kwa mim ni dharau kwa viongoz wa cuf walioweza kuivusha cuf kipindi kigumu ambapo lipumba aliondoka!!!
huwa napata tabu sn katka nchi yetu hii ya tanzania,yan unapokuwa na mawazo mbadala watu wengine wenye uwezo mdogo wa kufikir wanakuona wew ni chadema,labda niwaambie kitu kimoja kuwa mtu anapokuwa na mawazo ya kuleta mabadiliko sio lazima awe ni mwanachama wa chama cha siasa
kunakitu kinaitwa political fallacy,yan badala ya kwenda kwenye hoja unaanza kuattack mtu personally,hayo ni mawazo ya ego unaweza kuyakubali au kuyakataa mambo ya ukabila yanatoka wp?kuanzisha kitengo cha mipango miji ambacho kitatatua matatizo ya wananch (walipa kodi)nikuleta gharama lakin...
unapokuwa mlev kweli ni ngumu kujua kuwa wew ni mlev na unaweza fanya jambo la aibu lakn bado ukaona uko sawa na mlev anapolewea huwa na marafik na watu wanaomuuzia kilev utakapotokea wew ambaye sio mlev na ukajaribu kumsahihisha mlev kuwa anachofanya si sawa watu wanaomzunguka watamsifu na...
i give you crdt,mh.rais naomba umuone kijana huyu na umpe nafas atumikie nchi yake kwan anaonekana kuwa mzalendo na amejipanga kutatua matatizo ya aridh nchin na kuleta maendeleo
tunaishi katka jamii huru ambayo kila mtu ana uhuru wakuongea kwa kile anacho kiamin kwa sakata la escrow pesa zimepigwa hata tusiyumbishwe ila kwa lile la Richmond lililotupotezea wazir mkuu mchapa kaz kwa uroho wa watu kutaka uwazir sitalisahau mana ilikuwa ni zaidi ya roho na uchu wa madaraka
lowasa ni moja kat ya mawzir wakuu wajasir waliowah kutokea katk nchi hii,binafs najivunia yeye kwa uamuz wake na usimamiz uliotukuka katka shule za kata japo naamin kuwa lait angekuwa wazir mkuu had leo shule za kata zingekuwa mbali pia uwepo wa chuo cha udom alifanya maamuz magum hadi kfikia...
ninachokiona ni kuwa unaonekana kuwa na chuki zaid kuliko kuendeshwa na facts,hiv ulishawah kufuatilia ile ripot ya mwakyembe juu ya kinachoitwa ufisad wa lowasa?uliwah kufuatilia vikao vya kamati kuu ya ccm wakat lowasa alipouliza kwanin anaitwa fisad?unajua kilichotokea?unaelekea kuwa na...
baada ya majadiliano na wakuu na wamiliki wa vyuo na serikali walikubaliana kuwa wanafunz waliodahiliwa waendelee na masomo kwenye vyuo vya private ila hao ndio watakao kuwa wa mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.