Jamani Nimeoteshwa Ndoto Ya Urais Na Watendaji Wake 2015/2025, Je Haitatufaa Watanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,841
2,000
Habarini Wana JF! Jamani Yaani Ni Sasa Hivi Tu Hata Dakika 3 Hazijapita Nilikuwa Nimepitiwa Tu Na Kausingizi Kidoooooogo Na Nikajikuta Naoteshwa Rais Ajaye Wa Watanzania Na Baadhi Ya Watendaji Wake Nyeti ktk Baraza Lake La Mawaziri. Mambo Ni Kama Yafuatavyo :

Rais Atakuwa Profesa Sospeter Muhongo...( Poti ).
Makamu Wa Rais atakuwa Mama Anna Tibaijuka....( Mtani Wangu ).
Waziri Mkuu Atakuwa Mheshimiwa Andrew Chenge....
Waziri Wa Sheria Atakuwa Mheshimiwa Fredrick Werema...( Poti ).
Waziri Wa Habari, Vijana, Utamaduni, Uwongo, Umbea, Fitna, Upashkuna Na Upopoma Atakuwa Livingstone Lusinde...
Waziri Wa Mambo Ya Nje Atakuwa Mheshimiwa Steven Masele.
Waziri Wa Fedha Atakuwa Ni Mr. James Rugemalira...( Mtani ).
Gavana MTEULE Wa Benki Kuu Atakuwa Ni Singasinga Harbinder Sighn Seth Yule Mmiliki Wa IPTL
Mshauri Wao MKUU Wa Masuala Yote Atakuwa Ni Mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda.....

Naomba Msaada Wenu Pia Je Hii Ndoto Nimeoteshwa Kweli Na Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Tunayemwabudu au Kuna Mtu Tu Kaniazima Kwa Muda Ndoto Yake na Baadae Ataifuata?

Ushauri Wangu Tu Watanzania Tuwapeni Kura Hao Na Tuwaamini Kwani Shida Zetu Zooooote Zitatuisha!
Nawasilisha............
 
amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Hiyo ndoto ilipoishia kwako ikahamia kwangu nikaota Katibu mkuu kiongozi ni Nazir Karamagi, waziri wa starehe na anasa Juliana Shonza, Waziri wa misosi na nyimbo za misibani KAPT. John Komba... inaendelea ntarudi...
 
MWAKAJEMBE

Senior Member
Oct 27, 2014
133
170
Habarini Wana JF! Jamani Yaani Ni Sasa Hivi Tu Hata Dakika 3 Hazijapita Nilikuwa Nimepitiwa Tu Na Kausingizi Kidoooooogo Na Nikajikuta Naoteshwa Rais Ajaye Wa Watanzania Na Baadhi Ya Watendaji Wake Nyeti ktk Baraza Lake La Mawaziri. Mambo Ni Kama Yafuatavyo :

Rais Atakuwa Profesa Sospeter Muhongo...( Poti ).
Makamu Wa Rais atakuwa Mama Anna Tibaijuka....( Mtani Wangu ).
Waziri Mkuu Atakuwa Mheshimiwa Andrew Chenge....
Waziri Wa Sheria Atakuwa Mheshimiwa Fredrick Werema...( Poti ).
Waziri Wa Habari, Vijana, Utamaduni, Uwongo, Umbea, Fitna, Upashkuna Na Upopoma Atakuwa Livingstone Lusinde...
Waziri Wa Mambo Ya Nje Atakuwa Mheshimiwa Steven Masele.
Waziri Wa Fedha Atakuwa Ni Mr. James Rugemalira...( Mtani ).
Gavana MTEULE Wa Benki Kuu Atakuwa Ni Singasinga Harbinder Sighn Seth Yule Mmiliki Wa IPTL
Mshauri Wao MKUU Wa Masuala Yote Atakuwa Ni Mzee Mizengo Kayanza Peter Pinda.....

Naomba Msaada Wenu Pia Je Hii Ndoto Nimeoteshwa Kweli Na Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Tunayemwabudu au Kuna Mtu Tu Kaniazima Kwa Muda Ndoto Yake na Baadae Ataifuata?

Ushauri Wangu Tu Watanzania Tuwapeni Kura Hao Na Tuwaamini Kwani Shida Zetu Zooooote Zitatuisha!
Nawasilisha............
Ukilala tena utaota wamepelekwa icc na kunyongwa amin maneno yangu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom