Kingine nenda benki kaombe mkopo waambie hauna nyumba ila una bness ya milioni100 kama huo mkopo watakupa kwa sababu gani..? Wanajua bness inaweza ikaporomoka na wakaingia deni ila ukiwa na nyumba yenye thamani hiyo watakupa mkopo koz wanajua ukifilisika nyumba ipo kufidia deni...
Hakuna mtu asiyependa kuwa na kwake,hao wahindi wangekuwa wazawa wangejenga tu fatilia wahindi wote wenye asili ya Tz wana nyumba zao,hivi kwa wenye nyumba wa Nchi ifike January anataka kodi yake wewe unataka ukamlipie mtoto ada atakuelewa..? Watu wanajenga kwanza awe huru na kukimbizana na...
Clouds mambwa tu tangu walipovamiwa wamekuwa wasenge sana sio hao wa 360 tu Millard nae ameshaingia kwenye mkumbo huo huo wa maboss wake.Ipo siku tu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.