Yajue makombora ya Russia yanayokwepa Milima

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Jinsi Urusi ilipiga makombora huko Syria kutoka bahari ya caspian sea zaidi ya 1,000kms yakipitia Iraq huku yakikwepa milima kama mbayuwayu

upload_2017-11-14_11-38-17.png

upload_2017-11-14_11-39-14.png

upload_2017-11-14_11-38-40.png

MISSILE IN FLIGHT

The subsonic missile is powered by a turbojet engine. Over water, the missile flies as low as 66 feet. The missile is thought to have a cruising speed of between 656 and 886 feet per second at sea level, and a range in excess of 917 nautical miles.

upload_2017-11-14_11-43-41.png
 
Mwambieni V.Putin aniuzie submarine moja na makombora yake nije niipaki hapa ziwa viktoria yaani ukinizingua tu nakuweka kwenye target nakulipua na kamjengo kako sipendi ujinga mimi nitanunua kwa udhamini toka kwa tajiri mtata DK LOUIS SHIKA itapendeza
 
Guided Misselle , technologia ya kizaman kidogo .. warusi sasa ivi wanaongelea kitu SATAN-2 (Inweza futa nchi nzima kwa mpigo) na Sukhoi-57 ... wanaongelea leser weapons. we unaongelea guided missile ? SAM zote ni guided . IBM zote ni guided ... aah bwana
 
Hayo ma SATAN-2 ni icbm ila mtoa mada anaongelea cruise missiles.
Na mpaka sasa ni Marekani tu ndo yenye hizo silaha za lacer ambazo zimeshajaribiwa.
Na mwez huu Lockeed Martin wamepewa pesa kuweza kufanikisha silaha hizo ziwekwa kwenye ndege ifikapo mwaka 2021 ili kusaidia kuilinda ndege dhidi ya makombora ya kudungulia ndege. Kwahyo huko tunakokwenda ndege zenyewe zitakua na uwezo wa kudungua hayo makombora kama vile Patriot, S300,nk.

Sasa hv US, Russia na China wapo bize kutengeneza Hypersonic weapons.
 
BORA UMESEMA HIZO LASER ,Hypersonic weapons NDIO KWANZA ZIPO KWENYE PROJECT , HAPA CRUISE MISSILES
 
718f445ce1978c8c86c50c050a393001.jpg

Mkuu sio kwamba zipo kwenye project, ila zishaanza mpaka kufanyiwa majaribio.
Ingia Google andika 'US test hypersonic weapons' au 'Russia test hypesonic weapons' utaona.
 
Hayo ma SATAN-2 ni icbm ila mtoa mada anaongelea cruise missiles.
Na mpaka sasa ni Marekani tu ndo yenye hizo silaha za lacer ambazo zimeshajaribiwa.
Na mwez huu Lockeed Martin wamepewa pesa kuweza kufanikisha silaha hizo ziwekwa kwenye ndege ifikapo mwaka 2021 ili kusaidia kuilinda ndege dhidi ya makombora ya kudungulia ndege. Kwahyo huko tunakokwenda ndege zenyewe zitakua na uwezo wa kudungua hayo makombora kama vile Patriot, S300,nk.

Sasa hv US, Russia na China wapo bize kutengeneza Hypersonic weapons.
Israel taysri anazo ndege za hivyo.
 
kuwa na mikombora yote na kuishia kutishiana ni ujinga wakinukishe vita vya 3 vya dunia nasi tupate kusimulia ahera ( kama tukifariki) ama kwa vitukuu kama tukibaki salama
 
[Q
718f445ce1978c8c86c50c050a393001.jpg

Mkuu sio kwamba zipo kwenye project, ila zishaanza mpaka kufanyiwa majaribio.
Ingia Google andika 'US test hypersonic weapons' au 'Russia test hypesonic weapons' utaona.

UOTE="ze kokuyo, post: 24428346, member: 203207"]
718f445ce1978c8c86c50c050a393001.jpg

Mkuu sio kwamba zipo kwenye project, ila zishaanza mpaka kufanyiwa majaribio.
Ingia Google andika 'US test hypersonic weapons' au 'Russia test hypesonic weapons' utaona.[/QUOTE]

China Successfully Tests Hypersonic Missile

China successfully flight tested its new high-speed maneuvering warhead last week, days after Russia carried out its own hypersonic glider test, according to Pentagon officials.
 
Back
Top Bottom