Mwandishi Wetu, Arumeru
WANANCHI wa Jimbo la Arumeru Mashariki, wameombwa kumchagua mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Sioi Sumari ili kumfuta machozi yaliyotokana na kifo cha baba yake mzazi, Jeremiah Sumari ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo.
Mbali na hilo wananchi hao wameelezwa...
about an hour ago
2 people like this.
Noor Hassan PIGO KWA CCM:
DIWANI WA KATA YA NKWARUA ,WILAYA YA ARUMERU MASHARIKI ,EMANUEL LANGAELI ,
AJIUZULUabout an hour ago via mobile · Like · 1
Aikarua Benson Silaa People !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!about an hour ago · Like...
Jamani naona kweli kwa upande wangu ni kichekesho kikubwa sana, inakuwaje mtu uombe upigiwe kura wakati wewe mwenyewe hujajiandikisha!
Naomba ma great thinkers mjaribu kuangalia hili.
Ni kwamba Mgombea wa CCM Arumeru Sioi Sumari hajajiandikisha kupiga kura popote Tanzania, sasa leo anakuja...
CCM: Tumetumia Sh220mil, Chadema 600mil
Send to a friend
Monday, 12 March 2012 09:49
0digg
Elias Msuya
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetetea matumizi ya Sh220 milioni katika kura ya maoni kumpata mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo...
Jamani wana Arumeru nimesikia kuwa Mzee Mkapa ndio atakuwa kiongozi wa uzinduzi wa kampeni za CCM hapa kwetu Arumeru MAshariki.
Naomba akija ajibu maswali haya
1. Shamba la Madira Estate walilojigawia na Kimaro litarudishwa lini kwa wananchi wa Arumeru wenye ufinyu wa Ardhi.
3. Shamba la Mauwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.