swali la mwabdishi wa jambo leo lilipangwa na ikulu hata dr.kikwete alivyolijibu. unaona kabisa alijua hata kabla na kumeza nondo zile kusema kweli wewe peter hovyo kabisa
unajua watanzania kwa kupiga dill aliyepewa tenda ameomba zilizobaki SA akaongezea blue basi akawa amenaliza kazi rais wetu wanakuibia hata ww lakini sishangai kwa wat
kwa waliomuona chagonja leo alivyonywea naona amegundua alidanganywa.CHAGONJA KWA HALI YA SASA. tegemea kupata ushahidi wa kutosha. nakupa moja kuna jamaa alikuwa juu. ya mti akipiga picha aluona na kurekodi kila kitu na huyo polisi wako wewe mzee kwa cdm unekwama hiki si cuf na. nccr...
Wamiliki wa mabasi wanapanga kumsingizia RC Arusha kuwa amevunja sheria za Sumatra kwa kuziruhusu Noah kusafirisha abiria.Njama hizo zinapangwa na Enea Mrutu mmiliki wa mabasi ya Kirumo na mmoja anaitwa Oscar ambaye amepewa jukumu la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji.
Huku wakimtuhumu...
linahusija sana maana wai ndo wanaubsa serikali hujasikia wakisema serikali ya ccm ni sikivu ndo maana wachoma ili wasikie viva mtwara nawaaminia kwa pasive resistance
VIKWAZO Acha ukomba wa kujikomba kwa CCM mbona hupinga mafuta anayopewa naye kama mbunge hali anatumia magari ya waziri mkuu. hujasikia lowassa ni waziri mkuu mstafu hivyo analipwa marupurupu ya uwaziri mkuu hali ni mbunge analipwa tena hayo mafuta,
kuhusu kulipwa gharama za kesi unachekesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.