RC Arusha asukiwa zengwa na TABOA


mkibunga

mkibunga

Senior Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
196
Likes
0
Points
0
mkibunga

mkibunga

Senior Member
Joined Nov 17, 2010
196 0 0
Wamiliki wa mabasi wanapanga kumsingizia RC Arusha kuwa amevunja sheria za Sumatra kwa kuziruhusu Noah kusafirisha abiria.Njama hizo zinapangwa na Enea Mrutu mmiliki wa mabasi ya Kirumo na mmoja anaitwa Oscar ambaye amepewa jukumu la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji.

Huku wakimtuhumu Mulongo kuwa ana hisa na hizo Noah, wamepanga kumuona waziri ili awanusuru maana Noah zitaua soko la Coaster kama pikipiki zilivyomaliza taxi.

Mwisho wanalaumu wenzao wa Arusha kwa kutomuona RC (rushwa).
 
Alinda

Alinda

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2008
Messages
1,653
Likes
439
Points
180
Alinda

Alinda

Platinum Member
Joined Jun 26, 2008
1,653 439 180
Tujenge utamaduni wa ku edit habari kabla hatujazirusha katika mitandao mbalimbali, kwani ulichoandika hakieleweki kabisa.wamoliki wa mabasi wanapanga kumsingizia rc arusha kuwa amrvunja sheria za sumatra. kwa kuziruhusu noah kusafirisha abiria. njsma hizo zinapangwa na enea mrutu mmiliki wa mabasi ya kirumo na mmoja aitwar osca ambaye epewa jukumi la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji. huku wakimtuhumu mlongo kuwa anshisa na hizo noah. wamrpanga kumona waziri ili awanusuru. maana noaj zitsua soko la coaster kama pikipiki zilivyomaloza taxi. mwisho wanalaumu wenzao wa arusha kwa kutomuona rc (rushwa)
nimenasa wakipigiana simu
 
Lekakui

Lekakui

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,448
Likes
54
Points
145
Lekakui

Lekakui

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,448 54 145
wamoliki wa mabasi wanapanga kumsingizia rc arusha kuwa amrvunja sheria za sumatra. kwa kuziruhusu noah kusafirisha abiria. njsma hizo zinapangwa na enea mrutu mmiliki wa mabasi ya kirumo na mmoja aitwar osca ambaye epewa jukumi la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji. huku wakimtuhumu mlongo kuwa anshisa na hizo noah. wamrpanga kumona waziri ili awanusuru. maana noaj zitsua soko la coaster kama pikipiki zilivyomaloza taxi. mwisho wanalaumu wenzao wa arusha kwa kutomuona rc (rushwa)
nimenasa wakipigiana simu
Tatizo sio tuwe na utaratibu wa ku edit ni kwamba mrusha mada anaonekana stv 7,sasa what do u expect?hata jinsi anavyoandika ni kama vile hajiamini na anachokisema yeye aseme kama by doing so itamuaharibia biashara yake kivipi na sio kusema otherwsie
 
Chademondus

Chademondus

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
177
Likes
0
Points
0
Chademondus

Chademondus

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
177 0 0
Pombe banaaa...ulikkuwa kwenye bodaboda/Rough road wakati unaandika huu uzi au!!!!?? si amini kama ni makusudio yako kuandika hivi!
 
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
649
Likes
21
Points
35
Age
46
Thomas Odera

Thomas Odera

Verified Member
Joined Nov 1, 2010
649 21 35
Inawezekana aliyeandika habari hizi wa facebook maana wamezoea kufupisha na pia hawajali kusahihisha maandishi yao kabla ya kutuma
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,230
Likes
358
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,230 358 180
Lakini pamoja na makosa yake kuna kitu hapa!
Someni katikati ya mistari jamani!
Ishu kubwa mimi niliyoiona ni kwamba RC Mulongo anatakiwa "aonwe"!
Je aonwe vipi wakati anafanya kazi ya utumishi wa umma kwa niaba ya Rais?
Je huwa rais anahongwa ili afanye kazi yake?
RC tuambiwe huwa "unaonwaje?"
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,848
Likes
3,624
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,848 3,624 280
Kwani hizi NOAH si ni juzi tu bungeni nimesikia agizo la Mwakyembe kwa SUMATRA kuwa ziruhusiwe baada ya kufanyiwa kaguzi stahiki!
Sasa iweje hao jamaa wa Arusha wamlalamikie Mkuu wa Mkoa au ni kwamba tamko hili la Mwakyembe lilikuwa hewa!!!
 
A

afwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
4,087
Likes
111
Points
160
A

afwe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
4,087 111 160
Kwani kulalamika kwa kufuata utaratibu ni kosa? Kwani ungeandika thread bila majina ya hao uliowataja usingeeleweka?
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,335
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,335 339 180
Wakuu sasa hivi ni free market noah ziachwe zifanye kazi yake hawa wenye costa wasilazimishe mambo watakavyo.
 
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
7,390
Likes
1,568
Points
280
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
7,390 1,568 280
Tujenge utamaduni wa ku edit habari kabla hatujazirusha katika mitandao mbalimbali, kwani ulichoandika hakieleweki kabisa.
Inaonekana PC ya mshikaji hizo Key pad zina kutu namshauri adondoshee Oil kidogo ili ziwe laini!
 

Forum statistics

Threads 1,273,251
Members 490,339
Posts 30,475,240