Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

Status
Not open for further replies.

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
Ni katika kipindi cha jicho letu ndani ya habari star tv, Huyu ni mchungaji wa kanisa na ni makam mkuu wa chuo cha SAUT. Anatokwa povu kwamba bomu la arusha limerushwa na waislam. Deodatus balile yule mhariri wa gazeti la jamhuri, anasema anashangaa kuwaona waarabu wenye ndevu ndefu kule kitunda kwamba wamefikaje huko vijijini? ....anapingana kidogo na makam mkuu wa saut, yeye Anasema bomu limerushwa na waislam wenye msimamo mkali kwamba sio waislam wote ni wabaya......binafsi sikubaliani na maelezo haya, naona si sahihi kuwalaumu waislam kwa sababu waliokamatwa pia wamo wakristo..huu ni uchochezi wa chuki na unalenga kulibomoa taifa.
 
Ni katika kipindi cha jicho letu ndani ya habari star tv, Huyu ni mchungaji wa kanisa na ni makam mkuu wa chuo cha SAUT. Anatokwa povu kwamba bomu la arusha limerushwa na waislam. Deodatus balile yule mhariri wa gazeti la anasema anashangaa kuwaona waarabu wenye ndevu ndefu kule kitunda....anapingana kidogo na makam mkuu wa saut, Anasema bomu limerushwa na waislam wenye msimamo mkali......binafsi naona si kweli kuwalaumu waislam kwa sababu waliokamatwa pia wamo wakristo..huu ni uchochezi na unalenga kulibomoa taifa.

Mkristo aliyekamatwa alikuwa dereva wa boda boda.................. Mkristo mwingine aliyetajwa hata mtaani kwake hawajui alibatizwa lini akawa mkristo muda mfupi namna ile!
Akili kumkichwa!
 
Ni katika kipindi cha jicho letu ndani ya habari star tv, Huyu ni mchungaji wa kanisa na ni makam mkuu wa chuo cha SAUT. Anatokwa povu kwamba bomu la arusha limerushwa na waislam. Deodatus balile yule mhariri wa gazeti la anasema anashangaa kuwaona waarabu wenye ndevu ndefu kule kitunda....anapingana kidogo na makam mkuu wa saut, Anasema bomu limerushwa na waislam wenye msimamo mkali......binafsi naona si kweli kuwalaumu waislam kwa sababu waliokamatwa pia wamo wakristo..huu ni uchochezi na unalenga kulibomoa taifa.

Tulia wewe gamba wasomi watupe ukweli..
 
Mods, tuondoleeni huu uchafu hapa, haya kina Kitima kama wanazungumza hayo, mleta uzi unataka tuchangie nini? sanasana tutaishia kwenye migongano ya nani gaidi na ambaye siye na hakutakuwa na mshindi hapa
 
Lipumba na ponda wamesema kuwa waislam watetee haki zao
 
Akichangia katika kipindi cha Jicho letu ndani ya Habari kinachorushwa na star Tv asubuhi ya leo,makamu mkuu wa chuo cha SAUT,Dr. Charles Kitima, amesema vitendo vya ugaidi vimelenga waumini wa kikatoliki.


Mada ilikuwa ni namna vyombo vya habari vilivyoliripoti habari wiki na hasa swala la ugaidi.


Sasa wadau hapa kuna kitu kipya kinajitokeza na ukiangalia matukio unaweza kukubaliana na kauli ya Dr. Kitima.
 
Ni katika kipindi cha jicho letu ndani ya habari star tv, Huyu ni mchungaji wa kanisa na ni makam mkuu wa chuo cha SAUT. Anatokwa povu kwamba bomu la arusha limerushwa na waislam. Deodatus balile yule mhariri wa gazeti la anasema anashangaa kuwaona waarabu wenye ndevu ndefu kule kitunda....anapingana kidogo na makam mkuu wa saut, Anasema bomu limerushwa na waislam wenye msimamo mkali......binafsi naona si kweli kuwalaumu waislam kwa sababu waliokamatwa pia wamo wakristo..huu ni uchochezi na unalenga kulibomoa taifa.

kwani uongp lams kasema sivyo shuhudia uongo wakr
 
Mficha ugonjwa kifo humuumbua.penye ukweli uongo hujitenga.udini ukomeshwe kwa nguvu zote.
 
Ni katika kipindi cha jicho letu ndani ya habari star tv, Huyu ni mchungaji wa kanisa na ni makam mkuu wa chuo cha SAUT. Anatokwa povu kwamba bomu la arusha limerushwa na waislam. Deodatus balile yule mhariri wa gazeti la anasema anashangaa kuwaona waarabu wenye ndevu ndefu kule kitunda....anapingana kidogo na makam mkuu wa saut, Anasema bomu limerushwa na waislam wenye msimamo mkali......binafsi naona si kweli kuwalaumu waislam kwa sababu waliokamatwa pia wamo wakristo..huu ni uchochezi na unalenga kulibomoa taifa.

Hajatoa POVU ila ubongo wako una makunyanzi laini sana hauchambui mambo ya msingi. Je ulishawahi kusikia msikiti umerushiwa bomu??? Ule waraka mlioutupa kando ya maiti ya Padre Evarist Mushi unasemaje?? Acha kutetea huo uovu wenu, jambo zuri ni kwamba Sisi Wakristo kamwe hutaona TUMELIPIZA KISASI.
Yesu Kristo wa Nazareti katuruhusu kumjibu mtu m........u kulingana na u.......u wake, hilo tumeruhusiwa kwa leongo la kutoa elimu.
 
Leo katika kipindi cha tuongee asubuhi,nimemsikia makam mkuu wa chuo wa sauti akiwalaumu na kuwakashifu waislaam kuwa ndio waliofanya ugaidi wa Arusha.kaongea kwa hisia kubwa mithili ya mtu mwenye kuwafahamu waliohusika na tukio hilo.kimsingi mwalimu wangu kakurupuka,na kaonyesha udhaifu mkubwa ktk hoja yake kiasi kwamba kaweka pembeni usomi wake na kutawaliwa na ushabiki wa kidini na kisiasa.hapo ndipo tunapata tofauti ya msomi na usomi.nampinga kwa hija zifuatazo
1.Migogoro na chuki ipo pia miongoni mwa wakristo kwani hata wao ni binaadamu .mfano hivi karibuni kulitokea mgogoro wakati wa kumsimika Askofu wa Anglican kanda ya magharibi(Rukwa) kwa waumini kupinga uteuzi wa askofu huyi.matokeo yake watu walifanya fujo na wakaamuliwa kwa mabomu ya machozi yaliyopigwa na FFU.
2.Pia hivi karibuni tulishuhudia kashfa iliyomkumba Padri wa kanisa katoliki akiwa kafumaniwa na mke wa muumini wake nyumbani kwake.je huyu mume wa huyo mama aliridhika kwa kitendo kilichofanywa na Padri wake?je kama angemkuta peke yake bila mashahidi na akaamuwa kumchoma kisu au risasi nani ambae angeamini kuwa hakuuawa na waislaam?je mwalumu wangu angekubari kuwa Padri kauawa na muumini wake?
3.Hivi karibuni Dunia imeshuhudia PAPA Benedicto akijiudhuru na wachambuzi wa duru za kimataifa wamekiri kuwa kanisa lilikumbwa na mgogoro mkubwa uliopelejea Papa kujiudhuru,lkn kabla ya papa huyo kujiudhuru yupo papa aliwahi kupigwa risasi akiwa ndani ya vatican.je haya nayo yamesababishwa na waislaam.
4.Tukio la juzi bristo lilihusishwa na uislaam lkn baada ya uchunguzi kufanyika FBI wamejiridhisha kuwa hakuna mwislaam alie husika.
5.Mauaji ya kimbali ya rwanda na Burundi,engeneers walikuwa maaskofu na mapadri na wala si mashekh ingawa wapo huko Burundi na Rwanda.na ushahidi kuwa maaskofu walisababisha machafuko ya Rwanda na Burundi,ni kuwa wao ndio mpaka leo wanajibu mashtaka mahakama ya kimataifa ya ICC.
Nahitimisha kwa kuwaasa watanzaniwa wenzangu kuwa swala la kufanya mauaji linaweza kufanywa na mtu yeyote bila kujali dini yake.ndio maana wapo majambazi wakristo,waislaam na wapagani.hivyo kuwamilikisha dini fulani na matendo ya mauaji ni kuwaficha na kuwalinda wahalifu toka dini nyingine.Victor Ambrose ndio mtu wa kwanza kukamatwa tena waumini waliokuwepo kwenye tukio ndio waliomkamata na kutaka kumuua.polisi ndio waliomuokoa.huenda alihusika au hakuhusika lkn tusubiri vyombo vya dola vifanye kazi yakena huo ndio utawala wa sheria.
Baada ya ugunduzi wa rasilimali kadhaa kama vile Gesi,mafuta,uraniam na madini mengine.dunia inatamani kuona Tanzania inakiwa na machafuko kama ilivyo DRC,Angola .lengo lamabepari ni kutugombanisha ili wafanye uporaji kama wanavyopora huko DRC ambapo wamepageuza shamba la bibi.tuwakatae wNasiasa wenye nia mbaya na taifa letu bila kujàli wanatokea.pia tuwakatae viongozi wa dini wanaotumiwa na mabeberu kwa lengo la kutumia ushawishi wao ili kuivuruga amani yetu.mungu ibariki Africa,mungu ibariki Tanzania yetu
 
Leo katika kipindi cha tuongee asubuhi, nimemsikia makam mkuu wa chuo wa sauti akiwalaumu na kuwakashifu waislaam kuwa ndio
waliofanya ugaidi wa Arusha.

Kaongea kwa hisia kubwa mithili ya mtu mwenye kuwafahamu waliohusika na tukio hilo.

Kimsingi mwalimu wangu kakurupuka, na kaonyesha udhaifu mkubwa ktk hoja yake kiasi kwamba kaweka pembeni usomi wake na kutawaliwa na ushabiki wa kidini na kisiasa. Hapo ndipo tunapata tofauti ya msomi na usomi.

Nampinga kwa hoja zifuatazo:

1. Migogoro na chuki ipo pia miongoni mwa wakristo kwani hata wao ni binaadamu .mfano hivi karibuni kulitokea mgogoro wakati wa
kumsimika Askofu wa Anglican kanda ya magharibi(Rukwa) kwa waumini kupinga uteuzi wa askofu huyi. Matokeo yake watu walifanya fujo na wakaamuliwa kwa mabomu ya machozi yaliyopigwa na FFU.

2. Pia hivi karibuni tulishuhudia kashfa iliyomkumba Padri wa kanisa katoliki akiwa kafumaniwa na mke wa muumini wake nyumbani
kwake. Je, huyu mume wa huyo mama aliridhika kwa kitendo kilichofanywa na Padri wake? Je, kama angemkuta peke yake bila mashahidi na akaamuwa kumchoma kisu au risasi nani ambae angeamini kuwa hakuuawa na waislaam? Je, mwalimu wangu angekubali kuwa Padri kauawa na muumini wake?

3. Hivi karibuni Dunia imeshuhudia PAPA Benedicto akijiuzlu na wachambuzi wa duru za kimataifa wamekiri kuwa kanisa lilikumbwa na mgogoro mkubwa uliopelejea Papa kujiuzulu, lkn kabla ya Papa huyo kujiudhuru yupo papa aliwahi kupigwa risasi akiwa ndani ya
vatican.je haya nayo yamesababishwa na waislaam.

4. Tukio la juzi Boston lilihusishwa na uislaam lkn baada ya uchunguzi kufanyika FBI wamejiridhisha kuwa hakuna mwislaam alie husika.

5. Mauaji ya kimbari ya Rwanda na Burundi, Engineers walikuwa maaskofu na mapadri na wala si mashekh ingawa wapo huko Burundi na Rwanda. Na ushahidi kuwa maaskofu walisababisha machafuko ya Rwanda na Burundi, ni kuwa wao ndio mpaka leo wanajibu mashtaka mahakama ya kimataifa ya ICC.

Nahitimisha kwa kuwaasa watanzaniwa wenzangu kuwa swala la kufanya mauaji linaweza kufanywa na mtu yeyote bila kujali dini yake. Ndio maana wapo majambazi wakristo, waislaam na wapagani. Hivyo kuwamilikisha dini fulani na matendo ya mauaji ni kuwaficha na kuwalinda wahalifu toka dini nyingine. Victor Ambrose ndio mtu wa kwanza kukamatwa tena waumini waliokuwepo
kwenye tukio ndio waliomkamata na kutaka kumuua. Polisi ndio waliomuokoa. Huenda alihusika au hakuhusika lkn tusubiri vyombo vya
dola vifanye kazi yakena huo ndio utawala wa sheria. Baada ya ugunduzi wa rasilimali kadhaa kama vile Gesi, mafuta, uraniam na madini mengine. Dunia inatamani kuona Tanzania inakiwa na machafuko kama ilivyo DRC, Angola.

Lengo la mabepari ni kutugombanisha ili wafanye uporaji kama wanavyopora huko DRC ambapo wamepageuza shamba la bibi. Tuwakatae wanasiasa wenye nia mbaya na taifa letu bila kujàli wanatokea.pia tuwakatae viongozi wa dini wanaotumiwa na mabeberu kwa lengo la kutumia ushawishi wao ili kuivuruga amani yetu.

Mungu ibariki Africa,
Mungu ibariki Tanzania yetu
 
Umejitahidi kufafanua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Leo katika kipindi cha tuongee
asubuhi,nimemsikia makam mkuu wa
chuo wa sauti akiwalaumu na
kuwakashifu waislaam kuwa ndio
waliofanya ugaidi wa Arusha.kaongea
kwa hisia kubwa mithili ya mtu mwenye
kuwafahamu waliohusika na tukio
hilo.kimsingi mwalimu wangu
kakurupuka,na kaonyesha udhaifu
mkubwa ktk hoja yake kiasi kwamba
kaweka pembeni usomi wake na
kutawaliwa na ushabiki wa kidini na
kisiasa.hapo ndipo tunapata tofauti ya
msomi na usomi.nampinga kwa hija
zifuatazo 1.Migogoro na chuki ipo pia
miongoni mwa wakristo kwani hata wao
ni binaadamu .mfano hivi karibuni
kulitokea mgogoro wakati wa
kumsimika Askofu wa Anglican kanda
ya magharibi(Rukwa) kwa waumini
kupinga uteuzi wa askofu huyi.matokeo
yake watu walifanya fujo na
wakaamuliwa kwa mabomu ya machozi
yaliyopigwa na FFU. 2.Pia hivi karibuni
tulishuhudia kashfa iliyomkumba Padri
wa kanisa katoliki akiwa kafumaniwa na
mke wa muumini wake nyumbani
kwake.je huyu mume wa huyo mama
aliridhika kwa kitendo kilichofanywa na
Padri wake?je kama angemkuta peke
yake bila mashahidi na akaamuwa
kumchoma kisu au risasi nani ambae
angeamini kuwa hakuuawa na
waislaam?je mwalumu wangu
angekubari kuwa Padri kauawa na
muumini wake? 3.Hivi karibuni Dunia
imeshuhudia PAPA Benedicto
akijiudhuru na wachambuzi wa duru za
kimataifa wamekiri kuwa kanisa
lilikumbwa na mgogoro mkubwa
uliopelejea Papa kujiudhuru,lkn kabla ya
papa huyo kujiudhuru yupo papa aliwahi
kupigwa risasi akiwa ndani ya
vatican.je haya nayo yamesababishwa
na waislaam. 4.Tukio la juzi bristo
lilihusishwa na uislaam lkn baada ya
uchunguzi kufanyika FBI wamejiridhisha
kuwa hakuna mwislaam alie husika.
5.Mauaji ya kimbali ya rwanda na
Burundi,engeneers walikuwa maaskofu
na mapadri na wala si mashekh ingawa
wapo huko Burundi na Rwanda.na
ushahidi kuwa maaskofu walisababisha
machafuko ya Rwanda na Burundi,ni
kuwa wao ndio mpaka leo wanajibu
mashtaka mahakama ya kimataifa ya
ICC. Nahitimisha kwa kuwaasa
watanzaniwa wenzangu kuwa swala la
kufanya mauaji linaweza kufanywa na
mtu yeyote bila kujali dini yake.ndio
maana wapo majambazi
wakristo,waislaam na wapagani.hivyo
kuwamilikisha dini fulani na matendo ya
mauaji ni kuwaficha na kuwalinda
wahalifu toka dini nyingine.Victor
Ambrose ndio mtu wa kwanza
kukamatwa tena waumini waliokuwepo
kwenye tukio ndio waliomkamata na
kutaka kumuua.polisi ndio
waliomuokoa.huenda alihusika au
hakuhusika lkn tusubiri vyombo vya
dola vifanye kazi yakena huo ndio
utawala wa sheria. Baada ya ugunduzi
wa rasilimali kadhaa kama vile
Gesi,mafuta,uraniam na madini
mengine.dunia inatamani kuona
Tanzania inakiwa na machafuko kama
ilivyo DRC,Angola .lengo lamabepari ni
kutugombanisha ili wafanye uporaji
kama wanavyopora huko DRC ambapo
wamepageuza shamba la
bibi.tuwakatae wNasiasa wenye nia
mbaya na taifa letu bila kujàli
wanatokea.pia tuwakatae viongozi wa
dini wanaotumiwa na mabeberu kwa
lengo la kutumia ushawishi wao ili
kuivuruga amani yetu.mungu ibariki
Africa,mungu ibariki Tanzania yetu

1. Ama ulimwelewa alichosema na unataka upotoshe alichosema;
2. Ama hukumwelewa na unajifanya ulimwelewa.
3. Amesema hivi:
a. Tanzania hakuna udini - Waislamu na Wakristo wanaishi pamoja kama ndugu.
b. Kilichofanyika Arusha ni shambulio la kigaidi kwa sababu serikali imeshindwa kuwalinda raia wake na hivyo fundamentalists (Waislamu wenye msimamo mkali) wamepata fursa ya kuwatumia Waislamu wasio waaminifu wachache (maana Waislamu walio wengi ni waadilifu) kusabaisha mfarakano kati ya Watanzania.
c. Kuna wakristo fundamentalists pia wanaowatumia baadhi ya Wakristo wa ndani wasio waaminifu kwa lengo lilelile.

Kama ulikuwa unasikiliza kwa masikio yako mawili bila bias yoyote, maneno unayosema "amekashifu Waislamu" umeyatoa wapi?
 
kuna tetesi kuwa kuna kanisa limelipuliwa tena.huu ni ushahidi tosha kuwa kuna agenda ya siri yenye lengo la kuisambaratisha tanzania.tukiite hiki kama kipindi cha mpito hivyo tushikamane kupinga uovu ili adui akose mahala pa kupenya.tanzania kwanza maana adha ya ukimbizi ni kubwa sana.
 
kuna tetesi kuwa kuna kanisa limelipuliwa tena.huu ni ushahidi tosha kuwa kuna agenda ya siri yenye lengo la kuisambaratisha tanzania.tukiite hiki kama kipindi cha mpito hivyo tushikamane kupinga uovu ili adui akose mahala pa kupenya.tanzania kwanza maana adha ya ukimbizi ni kubwa sana.

Tena wanalipua huku mkuu wa kaya akiwa nje ya nchi ili watu wasimdhanie nawasiwasi na mkuu wa kaya mzee vasco dagama anahusika
 
Leo katika kipindi cha tuongee asubuhi,nimemsikia makam mkuu wa chuo wa sauti akiwalaumu na kuwakashifu waislaam kuwa ndio
waliofanya ugaidi wa Arusha.Kaongea kwa hisia kubwa mithili ya mtu mwenye kuwafahamu waliohusika na tukiohilo. Kimsingi mwalimu wangu kakurupuka,na kaonyesha udhaifu mkubwa katika hoja yake kiasi kwambakaweka pembeni usomi wake na kutawaliwa na ushabiki wa kidini na kisiasa. Hapo ndipo tunapata tofauti ya msomi na usomi, nampinga kwa hoja zifuatazo

1.Migogoro na chuki ipo pia miongoni mwa wakristo kwani hata wao ni binaadamu. Mfano hivi karibuni kulitokea mgogoro wakati wa kumsimika Askofu wa Anglican kanda ya magharibi(Rukwa) kwa waumini kupinga uteuzi wa askofu huyo, matokeo yake watu walifanya fujo na wakaamuliwa kwa mabomu ya machozi yaliyopigwa na FFU.

2.Pia hivi karibuni tulishuhudia kashfa iliyomkumba Padri wa kanisa katoliki akiwa kafumaniwa na mke wa muumini wake nyumbani
kwake.je huyu mume wa huyo mama aliridhika kwa kitendo kilichofanywa na Padri wake? Je kama angemkuta peke yake bila mashahidi na akaamuwa kumchoma kisu au risasi nani ambae angeamini kuwa hakuuawa na waislaam? Je mwalumu wangu angekubari kuwa Padri kauawa na muumini wake?

3.Hivi karibuni Dunia imeshuhudia PAPA Benedicto akijiudhuru na wachambuzi wa duru za kimataifa wamekiri kuwa kanisa lilikumbwa na mgogoro mkubwa uliopelejea Papa kujiudhuru, lakini kabla ya Papa huyo kujiudhuru yupo Papa aliwahi kupigwa risasi akiwa ndani ya Vatican. Je haya nayo yamesababishwa na waislaam.

4.Tukio la juzi bristo lilihusishwa na uislaam lkn baada ya uchunguzi kufanyika FBI wamejiridhisha kuwa hakuna mwislaam alie husika.

5.Mauaji ya kimbali ya rwanda na Burundi, engeneers walikuwa maaskofu na mapadri na wala si mashekh ingawa
wapo huko Burundi na Rwanda, na ushahidi kuwa maaskofu walisababisha machafuko ya Rwanda na Burundi, ni kuwa wao ndio mpaka leo wanajibu mashtaka mahakama ya kimataifa ya ICC. Nahitimisha kwa kuwaasawatanzaniwa wenzangu kuwa swala la kufanya mauaji linaweza kufanywa na mtu yeyote bila kujali dini yake, ndio maana wapo majambazi wakristo, waislaam na wapagani, Hivyo kuwamilikisha dini fulani na matendo ya mauaji ni kuwaficha na kuwalinda wahalifu toka dini nyingine. Victor Ambrose ndio mtu wa kwanza kukamatwa tena waumini waliokuwepo kwenye tukio ndio waliomkamata na kutaka kumuua polisi ndio waliomuokoa, huenda alihusika au hakuhusika lakini tusubiri vyombo vyadola vifanye kazi yakena huo ndio utawala wa sheria. Baada ya ugunduzi wa rasilimali kadhaa kama vile Gesi, mafuta,uraniam na madini mengine, dunia inatamani kuona Tanzania inakiwa na machafuko kama ilivyo DRC, Angola lengo lamabepari ni kutugombanisha ili wafanye uporaji kama wanavyopora huko DRC ambapo wamepageuza shamba la bibi, tuwakatae wNasiasa wenye nia mbaya na taifa letu bila kujàli wanatokea, pia tuwakatae viongozi wa
dini wanaotumiwa na mabeberu kwa lengo la kutumia ushawishi wao ili kuivuruga amani yetu, mungu ibariki Africa ,mungu ibariki Tanzania yetu.
 
Hata Yule Katekista alozikwa akiwa Hai mbeya kwa Imani za Kishirikina atasema Waislam ndo wahusika au wachochezi, hata Lile kanisa la Kibwetere kule Uganda Waislam walichoma, Ukweli akishaujua Allah binadam asikushulishe hata Kidogo, Ukweli haupatikani kwa Maombi, Dua au Vipima joto kwenye TV! Hitler wakati wa 2nd World War alichoma Bunge la Ujerumani na wakati linateketea akamkamata Myahudi akamshikisha Galon la Petrol akampiga Picha zikatokea kwenye Front page ya Magazeti baada ya hapo Wajerumani wakisaidiwa na Vatican wakamuunga mkono sana Hitler kuteketeza Wayahudi, Ukweli ulifichwa kwa 55 years lakin mwaka 2000 Pope john Paul akizuru Israel aliomba radhi wayahudi kwa Niaba ya Kanisa katoliki Duniani kwa uhalifu dhidi ya wayahudi!
 
Njaa mbaya sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom