Recent content by Mkibosho Mweusi

  1. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kupunguza /kuzuia Usingizi

    Sawa Kiongozi
  2. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kupunguza /kuzuia Usingizi

    Mi ni Mwanaume
  3. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kupunguza /kuzuia Usingizi

    Wanajamvi habari zenu, Nasinzia sana niwapo kazini, japo ninalala sana nikiwa nyumbani. Msaada wa ushauri au dawa plz
  4. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Machafu yapi..... Pale alisema historia ya Makonda na hajasema neno la uongo kama ni fa fa fa fa fa fa fa fa kwel c alipata, sasa Gwajima kakosea wap tuache ushabiki wa kitoto
  5. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Sheria gani inayotumika kuzuia pombe ya viroba?

    Ipi iyo kama ni Plastiki zipo mtaani nying mno, Sio za Viroba tu siku izi dukan ata vocha unawekewa kwenye mfuko mweusi
  6. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?!

    Siasa ni watu..... Huwez kumoataa wema asijiunge na chama lako
  7. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna interview zinazofanyika Tanzania hii kipindi hiki??

    Zipo kiongozi nyingi tu
  8. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini kilichoikumba Kitonga Secondary School s2757?

    Wao wakiwa wa kwanza wamwisho awe nani
  9. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto wa miaka 9 ambaye Gwajima anadai alifufuliwa baada ya kufa huko Arusha

    Ivi wanakijua kifo kweli hao, Kifo kifo kifo Kabisaaaaa...... Poa tu ngoja watupige changa la macho.... Kalamu inauwezo gani kwa kuharibu fuvu la kichwa la mwanadamu ad apoteze uhai
  10. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli arejea kutoka Ethiopia alikohudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika

    Tusubiri kesho tuone itakunywa tena
  11. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kutoa Factory Reset Protection (FRP) bila kompyuta

    Asanteh mkuu
  12. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla ashambuliwa Twitter kwa kuwadharau wenye Digrii na wapo mtaani

    We umeona kuna mazingira wezeshi ya kujiajiri au na we ni umeshikiwa akili
  13. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Atakayeshindwa kuwasilisha Form IV index number kabla ya Machi 1 kajifukuzisha kazi

    Af si alishahamia Dodoma, Dar kasahau nin tena
  14. Mkibosho Mweusi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Atakayeshindwa kuwasilisha Form IV index number kabla ya Machi 1 kajifukuzisha kazi

    Dah huu uhakiki noma sana, Yan ndo gear inayo sound vzr wameona dah, watumishi wa umma kazi wanayo
Back
Top Bottom