Hivi kuna interview zinazofanyika Tanzania hii kipindi hiki??

NEWSINKP

Member
Sep 26, 2016
77
92
Habari zenu wanaJf,
Jamani kwa hali ilivyo sasa ya tatizo la ajira na ukimya wa taasisi nyingi zilizokwisha tangaza kazi lakini hatusikii wakiita watu kwa ajili ya interview kama ilivyokua awali.
Hivi kuna taasisi zinazofanyia watu interview kweli kwa sasa?
 
Hata mimi najiuliza maana kuna kazi zilitangazwa na taasisi za serikali toka mwaka jana ila sijasikia wakiitisha usahili.
 
Za serikali bado, Ila za binafsi kama huwa unaomba na unakidhi vigezo wanaita kila Siku...juzijuzi nmepata email ya Heifer Int.....kwamba kazi niliyoomba sijabahatika kuipata, etc mashirika binafsi yanaendelea kama kawaida. Serikalini utasubiri sana, inamaana nyimbo wanazoziimba kuhusu ajira huwa huzielewi?
 
Sidhani kama zipo kweli, maana ukiangalia frequency ya kutangazwa kwa kazi na zinazoita watu zina utofauti mnoo. Yaan kazi zinatangazwa nyingi mno mfano kwenye zoom ila number of interviews done ni chache mno ama hakuna kabisa. Sometimes nafikiri labda watu wanaitana kisiri siri ili kuepuka umati wa watu coz of unemployment situation exists in Tz nowadays.
 
kuanzia march wataanza kuita maana vibali bado
 
Za serikali bado, Ila za binafsi kama huwa unaomba na unakidhi vigezo wanaita kila Siku...juzijuzi nmepata email ya Heifer Int.....kwamba kazi niliyoomba sijabahatika kuipata, etc mashirika binafsi yanaendelea kama kawaida. Serikalini utasubiri sana, inamaana nyimbo wanazoziimba kuhusu ajira huwa huzielewi?
Ntumie contact za heifer project najua mm ntatusua kweny interview
 
Mambo ya kutafuta ajira nayoo

Kila kher wakuu

Ila.vikampuni vya wahindi mishahara yao hata kwa wahindisi ni upuuzi,mshahara kama wa mwalimu 700k au below

Wana kazen sana kila.kher
 
TRA post za preventive, custom, tax assistant wale wa diploma tulifanya mwezi wa saba mwaka jana interview oral na written hadi sasa sijui kinachoendelea..kama waliitwa kazini au laaahhh
 
Sidhani kama zipo kweli, maana ukiangalia frequency ya kutangazwa kwa kazi na zinazoita watu zina utofauti mnoo. Yaan kazi zinatangazwa nyingi mno mfano kwenye zoom ila number of interviews done ni chache mno ama hakuna kabisa. Sometimes nafikiri labda watu wanaitana kisiri siri ili kuepuka umati wa watu coz of unemployment situation exists in Tz nowadays.
Usijeukatolea mfano wa kutoka zoom, wale Mara nyingi hutangaza kazi ambazo hazipo mwisho huishia kukuomba hela...mbona mm huwa najibiwa email sema kubahatika kupewa kazi ndio kamtihani ambako kanasumbua wengi endapo umeomba kazi ambayo una experience ndogo
 
Ntumie contact za heifer project najua mm ntatusua kweny interview
ahahaaa, ingia online andika Heifer International nenda open vacancies endelea na mchakato.......register kabisa ili uwe unapata news update....utakuwa manager siku si nyingi
 
Usijeukatolea mfano wa kutoka zoom, wale Mara nyingi hutangaza kazi ambazo hazipo mwisho huishia kukuomba hela...mbona mm huwa najibiwa email sema kubahatika kupewa kazi ndio kamtihani ambako kanasumbua wengi endapo umeomba kazi ambayo una experience ndogo
Sijawahi apply kazi ya zoom bila kuangalia ukweli wa kazi hyo kweny organization husika.
 
Back
Top Bottom