Msaada wa Dawa ya kupunguza /kuzuia Usingizi

Dec 13, 2016
24
17
Wanajamvi habari zenu,

Nasinzia sana niwapo kazini, japo ninalala sana nikiwa nyumbani.

Msaada wa ushauri au dawa plz
 
Inaonekana unakula kula sana pasi na mpngilio afu zoezi hauna.

Kinyume chake utamaliza tatizo.
 
Jaribu kulala mapema na ukiamka asubuhi fanya mazoezi angalau nusu saa... Ata ya kuruka kamba. Usipendelee kuoga maji ya uvuguvugu asubuhi.
Ukisikia usingizi tembeatembea ofisini.
 
Nina uhakika ungekuwa unaongea na daktari ungefunguka vitu vingi. Hii ingemsaidia ktk kujua tatizo nini. Lakini hapa kwa kuwa umetoa maelezo kiduchu basi tegemea hata ushauri uyakaopata unaweza usikusadie sana
 
Kuzuia usingizi kwa kukusudia tena kwa kutumia dawa ama kahawa ni VIBAYA na inakupunguzia muda wa kuishi.

Dawa ya usingizi ni kulala/kupumzika.
 
Dah mwenzio natafuta dawa ya usingiz mkuu Ila hakikisha usiku usishibe sana na asbh chai vile vile usihibe sana mana shibe mara nyng ndo inaleta usingz +uvivu
 
Back
Top Bottom