Tathmini yako sikubaliani nayo. Kama unaifahamu historia, mwaka 1995 maeneo mengi ambayo yamewachagua chadema waliipigia NCCR-Mageuzi. Unataka kuniambia 1995 ccm ilikuwa na mpasuko? Mimi nadhani maeneo haya ni yale yenye uelewa kwa demokrasia. Je, Kigoma kuna mpasuko sana kuliko mikoa mingine?