Kikwete kuwa serious japo kidogo tu...

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,065
4,058
Siku za hivi karibuni umetuambia utaleta usafiri wa reli kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Swala hili ni zito hasa ikitiliwa maanani kwamba mji umejaa na haujajengwa kwa mpangilio.
Je unachotuambia hizo reli zitapita wapi?
au ndio yale mambo ya ahadi za NDIYO MZEE wa Prof. Jay Wamitulinga?
 
Hayahaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Katika hatua hiyo Rais Kikwete alizindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa Miundombinu ya Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (DART) katika jiji la Dar es Salaam ambao utanatarajiwa kukamilika mwaka 2012.

Ujenzi huo unaoanzia eneo la feri na kuishia Kimara ambapo aliwataka wamiliki wa mabasi hayo makubwa kutumia gesi asilia ili kuondokana na uharibifu wa mazingira.

Mradi huo unaotekelezwa katika awamu sita, umefadhiliwa na Benki ya Dunia (WB) hadi kukamilika kwake utagharimu kiasi cha sh trilioni 7.3.

Source: TZdaima
 
Huyu anatufanya sisi watoto kila siku ahadi zisizotekelezeka!
 
[nadhani hukumwelewa kabisaa. Alimaniisha reli zizopo tayari yaani mfano reli ya kati na tazara zinaweza kutumika kurahisisha usafiri. aidha lengo ni kuondoa adha ya usafiri DAR. MFANO RELI ya kati inapita Pugu hivyo inaweza kutumika kusafirisha abiria toka huko pugu kupiti vingunguti , buguruni Ilala hadi kuishia stesheni dar . wafanyakazi wanaweza wakawahi kazini JEE SI KWELI ITAPUNGUZA KERO. kWA NINI HATUTAKI KUELEWA !!!
 
mm nnakwambieni JK, ameamua kuweka historia cha kusikitisha baada ya kumuunga mkono kwa uthubutu na kumsaidia mnaleta vioja

ila nnakuombeni tukimaliza uchaguzi tuungane na mheshimiwa rais ktk kuijenga nchi yetu
 
Mimi kuna kitu kinanishangaza sana.. Hivi miaka yote hiyo 5 ikulu huyu jamaa alikuwa akifanya nini? Hebu niambieni waungwana.
Let's be realistic, tuache ushabiki usiokuwa na tija wala msaada wowote kwa mwananchi wa kawaida!
 
Siku za hivi karibuni umetuambia utaleta usafiri wa reli kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Swala hili ni zito hasa ikitiliwa maanani kwamba mji umejaa na haujajengwa kwa mpangilio.
Je unachotuambia hizo reli zitapita wapi?
au ndio yale mambo ya ahadi za NDIYO MZEE wa Prof. Jay Wamitulinga?

Ndugu nadhani kwa utashi wa kawaida, kikwete si rais wa wenye akili. Ni Rais wa wapumbavu. anatia aibu.

He is a fake president. Yani nikimuangalia nikimtazama makamba na wanaomzunguka naona jinsi alivyo na upupu kichwani.

We need a serious president. We have to select the best commited guy this time.

Naona 2pange jinsi ya kuanza masive compaigne ili kumsaidia Dk. Slaa.
 
Serikali itakayoundwa na CCM kama itachaguliwa, watanzania waendelee kuishi kwa matumaini na ahadi za JK. kwanza mjue kabisa kuwa yeye hayuko serious. yeye anaongea tu kuburudisha katika mikutano yake. tanzania tuna Reli ya kati Dar-Kigoma; Dar-Mza. Zote zimeshindikana. TAZARA imewashinda. Hakuna chochote kinachoendelea.

Hivyo mambo ya kudanganywa watanzania wamechoka, Twende kwenye chombo kipya "SLAA" Basi.
 
Sielewi inawagharimu nini watu kuelewa ukweli huu!
Labda tufahamishwe KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI!
 
Sielewi inawagharimu nini watu kuelewa ukweli huu!
Labda tufahamishwe KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI!
Asieelewa hapa ni Mtu wa Pwani tu.......mbayuwayu aka mkwere.

hahahahaa!! nime-do ze needful kule juu!!
 
1. Achomekewa kipengele kwenye sheria ya gharama ya uchaguzi bila kujua , na kuisaini kwa mbwembwe kabisa.

2.Aacha ziara ya kiserikali Mwanza ili awahi kupiga picha na Kaka,Robhinyo pamoja na Luis Fabiano (timu ya taifa ya brazil)

3.Awaita waandishi wa Habari ikulu, kuwaonyesha jezi aliyopewa na Rais WA TIMU YA MPIRA WA MIGUU (real madrid)

4. Nchi ina bajeti mbili Yawezekana alikuwa hajui. (kama haikuwa ni dili)

5.Kampeni kasimamia Mkwewe na Mtoto wakati CCM, ni taasisi iliyo na viongozi .

6.Aridhia kumuondoa Bashe, na akijua wazi ni raia ili kumridhisha mtomto wake.

7.Amekiri hadharani kuwa mafisadi wananguvu kuliko SERIKALI. (wakati ukweli wameanzia maisha hapahapa udhaifu wao unajulikana)

8.Hajui kwa nini NCHI ALIYOOMBA ridhaa kwa wananchi NI MASIKINI.

9.Hajui kwa nini CCM imeshindwa uchaguzi.

10.Ametuletea picha akiwa amepanda BEMBEA Jamaica eti NDIO KUAMASISHA UWEKEZAJI

11.Anajisifia kuhusu nchi kuwa tegemezi badala ya kujitegemea Awaambia wananchi wa makete "hii simu niliyokuwa naongea nayo hapa, ni Balozi wa Marekani Alfonso, yeye kaambiwa na Rais wa Marekani kuwa ataendelea KUTOA MISAADA".

Hayo ni yale ya kizembe, sijui mtazamao wako....
 
Kwa mtazamo wangu naona Mkapa pamoja na mapungufu yake mengi alikuwa Rais makini sana. Naona hata Mwinyi anamzidi Kikwete kwa umakini. Nadhani tatizo hajipi muda wa kutosha kusoma. Anawaachia watu wafanye kazi yeye anastarehe tu
 
Hapo umenena maana anachukulia kila jambo juu juu tu alafu inaonyesha hamna kitu kichwani...
 
Back
Top Bottom