Recent content by Mkenya halisi

  1. Mkenya halisi

    JamiiForums Tanzania Je, nikichukua mkojo wa mtoto jioni kwa ajili ya kuupeleka kesho yake kwa ajili ya vipimo utafaa?

    Sababu ushaamua kumpeleka hospitali nivyema swali hilo ummulize doctor akiitaji mkojo wa mwao
  2. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

    Hongera sana kaka pamoja na mkeo, mwenyezi Mungu atazidi kuwalipa kwa tendo jema mliomfanyia huyo dada wa kazi.
  3. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa namna hii unamfanyaje?

    Acha masiara we kapime afya yako muhimu.
  4. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Member anadhani amenila hiyo Pesa. Haja calculate jambo moja muhimu

    Pole kwa yalio kusibu mku, forgive and forget.
  5. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina imani na kiumbe anaeitwa mwanamke

    Unge stick na mada ya mkeo,Ila mambo na kutoa siri ya wateja zako si ungwana kabisa. Kuchapiwa siri ya ndani.
  6. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

    Silence is the best weapon, I like this.
  7. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunavyotakiwa kuishi na mwanamke wa sasa

    Naona una hasira nao!! Pole kwa yaliokukuta.
  8. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumsahau huyu jamaa

    Tueleze kosa lililotokea tuangalie uzito wake, ndio tuweze kukushauri vyema
  9. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo naomba msaada kwa hili

    Wacha tumsaidie mistari ili akupe roho yako itulie, naona ndiounacho hitaji kwa huyo kaka.
  10. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie mnao wapangia nyumba wake zenu, wanaliwa huku

    Kwa mada hii inabidi tuwabebe wake zetu makazini manake loo..
  11. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

    Mpango wa kando unachangia pia
  12. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwanini unafumba macho wakati wakumake love?

    Kwa maoni yangu tu sababu kuu ya kufumba macho ni kuambukizana ma pepo watamu.
  13. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulifanyaje

    Mi nliwaza baada ya miezi tisa ntaitwa baba.
  14. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila Kugongewa mke kunaumiza sana, kusikiage tu

    Hapa nimechaka sana...
  15. Mkenya halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke gani ungependa umuoe?

    Nakuunga mkono mkuu nimeangalia profile picture yake loo nakubali.
Back
Top Bottom