Je, nikichukua mkojo wa mtoto jioni kwa ajili ya kuupeleka kesho yake kwa ajili ya vipimo utafaa?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Habari ndugu,

Nina mtoto wa kiume umri mwaka mmoja na miezi minne amekuwa analia anapotaka kukojoa ila akishakojoa anakuwa vizuri tu, nimeona hili tangu juzi ila nilifikiri ni kidonda cha mchubuko ulisababishwa na kisepe ila nimegundua siyo maana naona kidonda chenyewe kimeshapona.

Hivyo nataka nimpeleke hospitali kesho asubuhi, swali langu kwenu ni je nikiteka mkojo wake jioni hii niuhifadhi hadi kesho itakuwa sawa kwa vipimo au hadi upatikane mkojo wa muda huohuo?

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom