Recent content by mkatakuni

  1. mkatakuni

    Tupeane mbinu Mbalimbali za kuwanasa mademu kirahisi bila kutumia nguvu nyingi sana

    Mind your own business then onyesha unakubali uzuri wake, lakini sio issue uwe nae au usiwe nae hmna kitu utapungukiwa.Sasa wewe jifanye lover boy utazungushwa saaanaa.
  2. mkatakuni

    Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

    Haukua mwaka mzuri kiuchumi ila mambo kadhaa nimejifunza. 1.Watu watakupa thamani(heshima)kulingangana na unachofanya(status). 2.Haijalishi unapitia kipindi kigumu vipi usivae matatizo yako usoni.Vaa vizur,tabasamu,be calm .Muonekano wako wa nje unakutambulisha haraka kuliko kitu chochote be...
  3. mkatakuni

    Diamond atoa wimbo 'Sound' aliomshirikisha msanii Teni kutoka Nigeria

    Mkuu sijui kuhusu kiasi cha uelewa wako kuhusu mziki ila ngoja nikusaidie kitu.Wasanii wanapofanya feauturing wanaangalia vitu vingi 1.Aina ya mziki anaofanya.Hii uangalia kama ataendana na nyimbo yako husika.mf .Drake ft wizkid (Wizkid was far behind standard za drizzy) 2.Ukubwa wa msanii(na...
  4. mkatakuni

    Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

    Diamond is simply the best entertainer bongo so far..hats off 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
  5. mkatakuni

    Naongea na wewe Jembe ni Jembe meneja mpya wa Harmonize

    Mtoa mada ushauri wako ni mzuri lakini natofautiana na wewe kwamba "UNO"ni mbaya. Kwenye muziki kuna nyimbo zinacatch haraka na nyingine zinaenda taratibu.Hii nyimbo itakuja kua hit .
  6. mkatakuni

    Mbona Azam UTV hawaoneshi mpira leo?

    Hii kitu imenishangaza kidogo ile ni Pay Tv suala lolote ambalo sio technical halipaswi kumkosesha huduma mteja.Wanamiliki channeli zaidi ya moja wangeweza kuchagua moja na kuomboleza ndugu zetu.
  7. mkatakuni

    2019 Africa Cup of Nations Special Thread

    Kukosa penalti ni sehemu ya mchezo wala haina uhusiano na bara..Benin wanacheza defensive football toka hatua za makundi wamedraw mechi zote 3.Morroco open football(high pressing).Siku zote timu za aina ya Morroco lazma zipate shida inapokutana na timu defensive.(hasa ikiwa aggressive )...
  8. mkatakuni

    Hatimaye nimejikuta nampenda mwingine....

    Upo kwenye phase one ya mahusiano mapya (Hisia nyingi akili kiduchu),lower your expectations usimuamini sana hata huyo uliyenae.
  9. mkatakuni

    Nimeota ndoto nafanya mtihani wa darasa la saba

    Mi nina ndoto 3 sizielewi kabisa 1.Mwaka 2016 niliota watu watatu wamevaa mavaz meupe wanang'aa nikaambiwa nitafanikiwa sana kimaisha na nitakua mtu mkubwa nikiacha kitu kimoja.Mpka sasa sijajua hicho ni kitu gan . 2.Nimeota zaid ya mara 5 nikiwa advance kipindi cha mtihan kimekaribia na somo la...
  10. mkatakuni

    Kama hayakuumizi

    Nini maana ya malaya..tuanzie hapa kwanza.
  11. mkatakuni

    Majibu haya kwa dada zetu huwa yananitatiza sana

    kifupi ukipewa majibu hayo basi ujue mwanamke ndo anaongoza mahusiano ..she is a CEO .Sasa hapo utaamua kuendelea nae au kutafuta mtu ambaye atakupa mwanaume nafasi ya kua CEO.Real men go for the second option.
  12. mkatakuni

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Hapa ndo kuna uongo umesema zaidi ya 20 then unakuja kusema kati ya 20 watatu wamefariki kwenye process.Yani meseji tu za usiku mmoja zimeweza kukupa hizi detail zote.nadhani ungefaa sana kwenye intelligence...:):):)
  13. mkatakuni

    Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Huwez kumkomoa binadamu mwengine kwa kutumia mwili wako mwenyewe ni sawa na kuchoma nyumba kufukuza panya.UNAJIUMIZA BURE DADA YANGU...RELAX
  14. mkatakuni

    Nataka nizifute nyodo za huyu dada kwa "kutembea" na mumewe

    Hakika adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.Yani unatembea na mume wa mtu kumkoa mkewe..its funny.anyway pengine unampenda huyo mwanaume unatafuta justification.
  15. mkatakuni

    Kuna maisha baada ya kupigwa kibuti

    Kuachwa kunauma sana kikubwa ni kukubali kuwajibika kwa matokeo.Usimlaumu mtu jua wewe ni sehemu ya mahusiano kuvunjika haijalishi nan katenda kosa.Hii itakupa nguvu ya kumove on.
Back
Top Bottom