Recent content by Mkata kimeo

  1. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wanaume tuna roho za kishetani, leo mpaka nimetoa machozi kwa huyu dada

    Usi asahau kutuletea mrejesho baada ya bibi kumchukua.
  2. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Shambali ya lushoto iende ibwele.
  3. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

    Nilivyo pata kitambulisho nilikwenda kusajili laini yangu ya tigo Sasa Leo nakwenda kusajili ya halotel ikagoma namuuliza jamaa kulikoni ananiambia kitambulisho chako kimesha sajili laini tano hivyo huwezi kusajili tena nilibaki kuduaa Kama nimechomwa na miba vile. Niiyombe serekali hili zoezi...
  4. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Utambi Tambi ulivyonikosesha Utamu wa Mama mkwe

    Mpeleke Arusha mkuu umalize mchezo.
  5. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli suala la viwanda tungeachana nalo limeshatushinda

    Mpeni muda.
  6. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyeibwa hospitalini mwaka 1964 amepatikana

    Kweli ndiyo yeye kapatikana.
  7. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Kwa kweli walioleta biashara ya utumwa afrika walaaniwe na vizazi vyao.
  8. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

    Wakipigwa huwaoni kuchukua bendera ya nchi na kijitangaza kwenye media kua nimepigwa, wakishinda tu chakwanza media.
  9. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wanyonge inapozidi kuwakandamizi wanyonge! Baada ya NHIF, Mamlaka za Maji nazo zapandisha tozo

    CCM OYE EEE sisi wanyonge tulio kosa elimu OOOYEEEEEE natuna weka na kapambio KIDUMU MILELEEEEE.
  10. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke wangu kanifanyia haya Je nimsamehe Kweli?

    Mtoa mada inaonekana una lelewa na bidada sio bure.
  11. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    Mkuu bila huyo mama usinge pata kipozeo tena mjali Sana mama kuliko huyo mkeo.
  12. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Pigo jingine kwa wasiojulikana: Waporomoshwa vyeo wote

    Kwahiyo wame julikana.
  13. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Ninashukuru uliacha kutumia kauli hii nilipokuonya sasa nakuonya tena mimi na wenzangu sio wazembe,tambua hujawai ongeza mishahara ya watumishi

    Kwa sisi wakulima wadogo wadogo na tulio jiajiri hili sisi hata halituhusu.
  14. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio sijapenda kwenye 40 ya mtoto wa Diamond

    Uliona wapi wa zinzi waka liana wivu.
  15. Mkata kimeo

    JamiiForums Tanzania TUONGEE KIUME: Tunachowapa madada wa kazi, sicho walichokifuata

    Safi sana mkuu huo ndiyo uanaume.
Back
Top Bottom