Recent content by mkata kamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    WASIKUZINGUE MWANAGU, NYETO N NGONO SALAMA, raha yake unatia adi beyonce mamaee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    Pesa siku zote ndo zinawachanganya wadada, na unajua kabisa kuwa namchumba na mtoto, na mkiwa mtokoni mnajificha and u say kuw anakuoenda kiukwel, m naona anataka aoshe runfu lake maana nachokiona mimi ashakuletea siasa nawew Umeingia king, Kama kawaweza wana jimbo lake kwann wew uchomike Acha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sijui kutongoza

    nimeanza kukupata kaka mkubwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sijui kutongoza

    Mimi ni kijana wa kitanzania, nina tatizo moja la kushindwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jamani, nifanyaje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mimi mgeni ndugu zangu wana JF Naombeni mnipokee

    Naombeni mnipokee ndugu zangu, tushirikiane kimawazo katika kile takachoomba msaada wenu, na wale watakao omba msaada pia kama nina uelewa na hicho kitu tutasaidiana kimawazo. Asanteni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nacte huchukua muda gani kutoa Academic transcripts

    Habarini wana JF, naombeni kujua Balaza linalosimamia elimu ya ufundi Tanzania Nacte huchukua muda gani adi kuja kuzitoa Academic transcript? msaada wenu jamani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitaweza kudownload Korean drama(series)

    dramafire.com
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Habarini ndugu zangu wana JF, Naomba msaada wa websites ambazo tapata muvi nzuri na kuzipakua bila malipo. Msaada wenu jamani.
Back
Top Bottom