Mimi mgeni ndugu zangu wana JF Naombeni mnipokee

mkata kamba

Member
Apr 4, 2017
9
6
Naombeni mnipokee ndugu zangu, tushirikiane kimawazo katika kile takachoomba msaada wenu, na wale watakao omba msaada pia kama nina uelewa na hicho kitu tutasaidiana kimawazo. Asanteni
 
Yaani nimekatisha usingizi kwa ajili yako ili nije nikukaribishe mgeni! Karibu sana!!! Hii ndo JF, nyumba ya wote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom