Ushauri: Sijui kutongoza

Ushauri: Sijui kutongoza

Mh umenickitisha, yan mm jana tu kw maana ya jana nmeachia nauli yng ya boda baada ya kumchek mrembo anatembea road pekeake, ile tumempita kdg tu nikamwmbia boda nishushe mwanangu nmefka, akabaki anashangaa...akageuza kurudi alikotoka huku ananiangalia naelekea wapi, wala ckumjali! Nmerudi mdomdo nikamfikia mrembo nikampa hi akaitikia, nikamtania akatabasam nikaona kidume nshachukua point3 muhimu, nikajitambulisha jina("unajina zuri" maneno yakamtoka) nae akanambia la kwake nkamuuliza unaendap akanambia nshafika hm ni pale, nami nkaulizwa naelekea wp nikazuga naenda chuo (kwny muelekeo tulokuwa nao kw mbele kuna chuo flan), kidume bila kuchelewa nikaomba celular#, sasa nlikuwa nna cm mbili tablet na kicm cha tochi, nikapangusa nitoe lock akanambia "kwa nn uciandike kwny cm ndogo?" (ni km alikuwa anachelewa hlf home palee...) nami nikamjibu kw kujiamini "cm ndogo haina salio", "Ok poa". Fasta nikamtema akaingia getini, me nikazuga km hatua tano mbele then nikarudi zangu nlikotoka. Kumbe bwana mchuchu ameniona cjui alikuwa ananichungulia, kwnz akanitumia txt "umesema unaitwa nani vile?" nkamjibu ( ile mida nlipombip kumbe hakusave), mara txt ya pili hii apa "halafu ****** (akanitaja jina) we muongo, umenambia unaenda chuo sa mbn unarudi ulikotoka?" Hahahaaa.....kidume nikakamatwa, ila km kawa mtt wa kiume kujiamini, nikamjibu "kiukweli*****(nikamtaja jina) nlikuwa naenda twn ila nlipokuona ikabidi nirudi tu japo nikusalimie" akajibu 'mmmmh uongo huo', chatting zikaendelea hadi sa6 ucku! Yan hadi xaiv ni mm tu, nikitaka muda wwt simba anaweza kwnd kula mifupa yake

NIMEONGEA SANA ILA LENGO NLITAKA NIKUPE TU JAPO KAUZOEFU KIDOGO ILI UJUE WENZIO TUNAANZAJE (NA PIA KUNA NAMNA NYINGI SANA YA KUANZISHA STORY KW MREMBO ULOMZIMIA)

NB: mapenzi ni sanaa lazma uwe mbunifu
 
Safi sana mkuu una teknik kama zangu
 
Kijana umenikumbusha mbali sana enzi zile naanza kubalehe,nilikuwa nikiona mtu kasimama na demu najisogeza nisikie wanaongea nini ili nipate maujuzi ya kutongoza,sasa siku moja nikakuta jamaa kasimama na manzi nikasogea ili nidake swaga za kumdakia mtoto Suzy,

Basi bwana nikatega sikio nikasikia jamaa anasema "sasa vipi?" demu akasema "tufanye jioni basi nikitoka tuition"
Nikasema yes kumbe ni hivyo tu, bila kujua yule jamaa alishaga tongoza kitambo

Basi bwana jioni nikaoga vizuri nikavaa raba mtoni zangu nikaibuka kwa kina Suzy nikamwita akaja nikamwambia "sasa vipi?"
Akaniuliza "vipi nini sasa"? Nikabaki nacheka Cheka tu akaondoka akaniacha nakenua tu mijino
Huku ndoga imetuna balaa minyege imejaa tele,

Ila alikuja kunipa baadae sana haya maisha haya tunatoka mbali sana
 
nimeanza kukupata kaka mkubwa
 
Kutojua kutongoza pia ni kipaji mkuu. Sio wanaume wengi wanacho so just embrace it. By the way sio lazima utongoze ndio ung'oe totoz, smtimes inatokea automatically janga urafiki tu na wanawake unaowapenda, jifunze wanapendelea nn, fanya/ongea vitu wanavyovipenda.
Baada ya hapo utashangaa mpo kwenye mahusiano.
 
Anzisha urafiki... Usitongoze kwanza. Ukianza kumzoea unatupia vihint kua unampenda hadi mahusiano yanaanza... Sio wote wanaanza uhusiano kwa kutongozana
Daah!!......Hii ni nzuri,ngoja na mimi nianze urafiki na Paprika huenda na mimi nikakwapua mtoto mzuri JF!🙂
 
Wewe ni ndezi kama jamaa ang juz kaja kuniadisia et kapanda na manzi kwny bus dem kamwambia kapenda kampan yake wakipga story jamaa akadrop posta manz kashukia fery sasa kchaa anambia daa nimeogopa kuchukua no ilibid nimpe bao la mgongo ma tusi juu
Huyo jamaa yako alikuambia kuwa amempenda au amevutiwa na huyo binti?
 
Anzisha urafiki... Usitongoze kwanza. Ukianza kumzoea unatupia vihint kua unampenda hadi mahusiano yanaanza... Sio wote wanaanza uhusiano kwa kutongozana
mkuu naona ume uograde avatar
 
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina tatizo moja la kushindwa kutongoza mwanamke wa aina yoyote, msaada wenu jamani, nifanyaje?
myself once nilikuwa na problem kama lako but kama alivyosema Paprika sio lazima utongoze on the spot No, Jenga urafiki then as time goes on unachombeza maneno ya mapenzi slowly eventually mnajikuta mmemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom