Habari za leo ndugu zangu! Nina imani mko salama kwa upendo wa Allah. Ninaomba msaada wa kujua biashara ya vipodozi inalipa endapo nitaifanya kwa rejareja??? Vipodozi vinapatikana wapi na kwa bei gani kwa jumla kulingana na aina na ujazo wake. Nini changamoto kuhusu biashara ya vipodozi, pia...
Habari zetu wana jamvi...naomba kujua bei ya Toyota Coaster hapa dar kwenye show room. Pia endapo nitakuwa na pesa pungufu ya kununulia inawezekana kupewa gari halafu ukalipa kidogo kidogo hadi deni litakapoisha? Mwisho napenda kujua ni wapi naweza kupata coaster kwa njia ya kulipa nusu ya hela...
Njoo kimara suka maeneo ya golani 1.3km from morogoro road. kina ukubwa wa hatua 25x40 na kina msingi full wa nyumba bei 15m maelewano yapo kidogo 0714783571
Kituo cha television cha ITV kimetangaza kuwa askari watatu wa JWTZ wamefariki dunia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juzi kufuatia ajali mbaya ya gari
Kituo cha television cha ITV kimetangaza kuwa askari watatu dunia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juzi kufuatia ajali mbaya ya gari
Kuna taarifa kwamba kuna mauaji ya kutisha huko Nachingwea hadi kusababisha wanawake kuandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya. Mwenye taarifa zaidi atuambie vizuri.
Habari zenu wana JF. Nina dream za kununua gari aina ya Subaru Forester nimetokea kuipenda sana gari hii.
Msaada wa ushauri toka kwenu ni kwamba nahitaji kujua gari inatumia Lita 1/how many Kms, spare parts zinapatikana kiurahisi, Nini umadhubuti wake, ni vipuri gani huwa vinasumbua mara kwa...
By Robert Greene, eg. Law 9 says WIN TROUGH YOUR ACTIONS,NEVER THROUGH ARGUMENT...Tena mwandishi anaongeza kwa kusema INFECTION: AVOID THE UNHAPPPY AND UNLUCKY. YAH kwa pande yangu THE 48 LAWS OF POWER is the one
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.