Tanzania Yapoteza Askari Wake Watatu DRC CONGO

Majeshi ya UN yako Congo kulinda Interest za USA kwa miaka mingi... Wakongoma hawafaidi utajiri wa madini yao bali mateso na mauaji ya kila aina; mabomu, risasi za moto, magonjwa ya kuambukiza, njaa ... Is it Worth Majeshi yetu kutumika kwa niaba yao? Kagame alitumika baadae akaanza kujigawia mwenyewe! Walimtumia M7 nae akawa anajigawia madini ... sisi Kama kawaida yetu ni watu wa kutekeleza TORs za Wakubwa wa Dunia hii kwa ujira wa Mwiha... R.I.P Vijana wetu...

hata kidogo wanacholipwa kinaishia mikononi mwa wajanja
 
Pole Sana makamanda wetu.Hope habari Kamili tutapata kutoka Ngome.Maana siku hizi huwa wanajibu yanayoandikwa kutoka kwenye social media
 
Ajali neno pana sana haswa katika mazingira hayo!!!!

Hebu weka kitu kamili

Ajali ya kisiasa? Wanajeshi hawa wanikuwa ku seniore core wakawa mai maimya goshimu maimai ya dwatii.
 
R.I.P Mungu awalaze mahal pema peponi uchunguz pia ufanyike juu ya kupinduka kwa gari walilo kuwa wamepanda.
 
Waliowapeleka huko wako salama kabisa na familia zao na hakuna wanachowaza zaidi ya kuwaingiza watoto wao kwenye UBUNGE na sio kuwapeleka kuwa wanajesha au Polisi.
Pumzikeni kwa amani mliokufa kwani ni mojawapo ya kazi mlioichagua wenzenu huku wanapiga hela kwa kukaa tu Bungeni na kupiga domo.
 
Ajali ya kisiasa? Wanajeshi hawa wanikuwa ku seniore core wakawa mai maimya goshimu maimai ya dwatii.

Duhh!! POMBE mwachie Kigogo atumie ubongo wake mwenyewe usimsaidie unaona unavyompoteza.
 
Nyie munazania vita ni muchezo..haikuwagi muchezo sio unalamuka asubui unaanza akwiii warugaruga wote ndani ya armee na tunaenda kuatakee mufulani! Hapana vita haifanyagi vile.mutakufa sana
 
He he he he, bado unaandika chenga chenga? Kajifunze kiswahili ndiyo ukuye uchangie.
 
Kituo cha television cha ITV kimetangaza kuwa askari watatu dunia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juzi kufuatia ajali mbaya ya gari
 
Kituo cha television cha ITV kimetangaza kuwa askari watatu wa JWTZ wamefariki dunia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juzi kufuatia ajali mbaya ya gari
 
Majeshi ya UN yako Congo kulinda Interest za USA kwa miaka mingi... Wakongoma hawafaidi utajiri wa madini yao bali mateso na mauaji ya kila aina; mabomu, risasi za moto, magonjwa ya kuambukiza, njaa ... Is it Worth Majeshi yetu kutumika kwa niaba yao? Kagame alitumika baadae akaanza kujigawia mwenyewe! Walimtumia M7 nae akawa anajigawia madini ... sisi Kama kawaida yetu ni watu wa kutekeleza TORs za Wakubwa wa Dunia hii kwa ujira wa Mwiha... R.I.P Vijana wetu...

Na sisi tuna interest zetu pale we unadhani uswahiba wa tz na us na uadui wa kagame na kikwete unatoka wapi? Kalagabaho! Enzi za mchonga tulikua tunajitolea then makamanda wanarud mikono mitupu nyumbani lkn sasa wapi. TUMESTUKAA!...na bado wakifa 3 tunapeleka wengine 20
 
Ajali ya kisiasa? Wanajeshi hawa wanikuwa ku seniore core wakawa mai maimya goshimu maimai ya dwatii.

haaaaaaaaa!!! shikamoo bro maana hiyo lugha yako!? mkalimani wangu bado hujafika tu hapa!?
 
Nakusoma ndugu yangu ... Kalagabaho na uzoba wangu ...
Na sisi tuna interest zetu pale we unadhani uswahiba wa tz na us na uadui wa kagame na kikwete unatoka wapi? Kalagabaho! Enzi za mchonga tulikua tunajitolea then makamanda wanarud mikono mitupu nyumbani lkn sasa wapi. TUMESTUKAA!...na bado wakifa 3 tunapeleka wengine 20
 
Tunaomba majina au force namba zao ili tuweze. Kujjiandaa na kuomba tundubali mkuu
 
Back
Top Bottom