Possibles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 1,943
- 2,482
Hii kitu naiona sana maeneo ya Mkwawa(muce).Ni nzuri sana
HONGERA MKUU
Hii kitu naiona sana maeneo ya Mkwawa(muce).Ni nzuri sana
Hii kitu naiona sana maeneo ya Mkwawa(muce).Ni nzuri sana
HONGERA MKUU
Asante sana mkuu nimeridhika na mawazo yako hadi sasa sina woga tena wa kummiliki huyo mfalme wa maspeed kwa roadRRONDO nimekusikia kaka!!!!
Mengi yamesemwa na wadau tayari, ni gari haswa kama "anaiweza" spea kwa sasa ni nyingi sana na mafundi wapo!!!!!
Kama nakumbuka vizuri kwenye facebook wana group ya subaru fans kama sio owners so huko anaweza kupata mengi zaid kwa experience ya waliozitumia!!!!!
Ila najua perfomance yake ni baab kubwa sababu nimeshakutana nazo road na kwa kweli nilikubali mziki wake!!!!
Mkuu nina wasiwasi na hiyo filter ya 8000/- angalia wasikuharibie huyo mnyama!Ndugu i have this car kwa muda wa wiki tatu sasa ni very comfy, na spare zipo tu hata mwenge pale eg. Oil filter yake nimenunua 8000/- na vitu vingine sio ghali kiivo! Pia mafuta sio mbaya sana though yangu ni non turbo charger! From dar to iringa around 500km nimetumia less that 45ltrs! Jus try it its real comfidence in motion
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Dah mkuu hilo jina linanikusha Prison break at Sona.. by the way unaitwa na Sammy na Tbag.....Poa kaka hiyo ni model ya 2005 ila hata 2004 si mbaya
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Ukimiliki subaru na ww uwe na shell kabisa
Mkuu nina wasiwasi na hiyo filter ya 8000/- angalia wasikuharibie huyo mnyama!
Ukimiliki subaru na ww uwe na shell kabisa
Dah mkuu hilo jina linanikusha Prison break at Sona.. by the way unaitwa na Sammy na Tbag.....
Linapiga kelele sana
Silipendi
altezza gita gari nzuri sana hata me nazpenda ila lina tatzo 1:at high speeds haiko balanced.maana power to weight ratio ni kubwa sana halafu braking yake ni ndogo so its likely to get an accident usipokuwa makini.infact hilo ni tatzo kwa altezza zote hasa hz ambzo zina high ride height.
1 thing to note wen unainunua ni hii,usinunue yenye logo ya lexus kwa mbele,hyo ni 6 cylinder,hizi za kwaida ni 4 cylinder which is yamaha tuned