Recent content by Mkandarasi Mkuu

  1. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa lishe mitandaoni na wajibu wa jamii

    Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii imekuwa chanzo kikuu cha taarifa za afya na lishe. Watu wengi wanategemea video fupi, machapisho, na ushauri wa watu maarufu ili kuamua wanachopaswa kula kila siku. Hali hii imeleta changamoto kubwa. Taarifa nyingi zinakinzana. Kila kundi lina msimamo...
  2. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

    Hata kama tunania ya kufanya mabadiliko ila kwa muundo wa mifumo na Tume yetu ya Uchaguzi bado ni ndoto sana kufanya mabadiliko ya uongozi labda Coup de tat
  3. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM yashinda 98.83% Wenyeviti Serikali za Mitaa

    Hii michezo wanayofanya hawa jamaa naamini ipo siku kama sio sasa ipo siku inakuja, wazee hawakuwa mafala kusema siku za mwizi ni arobaini
  4. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM Unguja yapigwa faini Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya Leseni

    “Maadili ya Mzanzibari”, Kuna kila sababu za kuvunja huu muungano maana wenzetu wanavyakwao ila vya huku Tanganyika ni vyetu wote,
  5. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Ninafanya kazi na nimesoma afya ila sifa zingine sina na siwezi kuahidi kuwa kaka na sitaki kuwa kaka wakati nitakudinya tu
  6. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    CAG anakuwa kama mganga wa kienyeji; “kuna mtu anakuroga” hakutajii ni nani anayrkuroga, kuna haja ya CAG kubainisha wahusika wa ubadhirifu wa fedha za umma kuliko kusema tu, “watumishi sita waliiba kiasi fulani cha pesa”. Funguka ili wachukuliwe hatua
  7. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Ukishainuka kimaisha unapiga chini unatafuta tajiri sasa
  8. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania Haki ya Utawala bora, Viongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu, madaraka ya Urais, mfumo wa uteuzi wa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi

    Chachu na kasi kubwa ya maendeleo huendana na mfumo thabiti wa kuitawala katika serikali. Mfumo bora wa kiutawala huleta msisimko kwa watendaji, watumishi na wananchi kujitoa kwa dhati kuleta maendeleo katika taifa letu. Kwa mtazamo wangu, watanzania tumekuwa na mtazamo kuwa miaka mitano katika...
  9. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

    Ila wanawajibika moja kwa moja maana wao ndio wanaingia mkataba na mtumishi. Asipolipwa mwajiriwa wao nani wa kwanza kubeba msalaba huO?
  10. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

    Mimi Nilipohitimu chuo nilitafuta namna ya kupata taarifa mbalimbali za ajira, jambo la kwanza niliitumia vizuri Tekno yangu, kwanza nilijiunga na mitandao muhimu ya kijamii mfano Telegram na WhatsApp, huko nilihakikisha najiunga makundi yatakayonipa taarifa za ajira ili nisiwalaumu wenzangu...
  11. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

    Ni kweli kusema tatizo sio USAID wenyewe huenda tatizo tukawa sisi wabongo tuliopewa nyazifa mbalimbali pale boresha afya, lakini bado Boresha afya wenyewe wanayohaki ya kulaumiwa juu ya uzembe huu. Mfano kwa mkoa wa Ruvuma yapo Mashirika ambayo yanafanya kazi na boresha afya kama NICE na ROA...
  12. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania All good men are married, so sad

    Hapo kwenye sifa za huyo mwanaume tu ndio mnapokosea wadada, mnapenda waume za watu kuliko waume zenu mnaostahili, tatizo wamawake wengi siku hz wanafikiria kupata wanaume waliofanikiwa and stable financially pasipokujua most of them wako occupied. Mimi ushauri wangu jaribu kuondoa hiyo pointi...
  13. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Huyo mwanaume unayemuelezea sifa zake mbona ni mume wa mwenzio kabisa. Au unataka kuolewa mitala
  14. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba wa kike

    Nina miaka 29, mfanyakazi kwenye NGO inayohusika na mambo ya UKIMWI, Nahitaji mchumba awe na umri kati ya miaka 18-25, awe hajawahi kuolewa asiwe na mtoto au watoto, asiwe mfupi sana maana ni changamoto, kabila lolote lile na dini yoyote ile ila awe tayari kuambatana na mimi kiimani, awe mcha...
  15. Mkandarasi Mkuu

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Siupendi msemo wa "Adui wa Mwanamke ni Mwanamke mwenzie". Walio nafasi za juu wawavute wengine

    Tena yeye mwenyewe ana nafasi kubwa sana sasa ni wakati wa wanawake kuvutika😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom