Natafuta rafiki wa kiume

Tupe sifa zako kwanza.

Una kiuno nyigu?
Una msambwanda?
Guu la bia?
Ziwa konzi yaani Lile saa sita?
Macho ya goroli? na meupe
Sura ya mviringo?
Nywele za Masai?

Una shahada ngapi?
Una kazi?
Una gari ?
Una Nyumba?
Una mtoto?
Dini yako?

Jibu hayo Wana wajimwaye mwaye, isije ikawa mtu anaokotwa dodo chini ya mpapai
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Ninafanya kazi na nimesoma afya ila sifa zingine sina na siwezi kuahidi kuwa kaka na sitaki kuwa kaka wakati nitakudinya tu
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Kutokusomea Afya kumenishanikosesha rafiki
 
Msijihangaishe wanawake wanaojua kuchagua ivi ni wabaya pisi kali zinazoaga tu watu kama sisi
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom