Recent content by mkamandume

  1. mkamandume

    Baadhi ya trafic polisi wa Msata wanakula sana rushwa

    Inasikitisha sana kwa baadhi ya traffic polisi kukosa maadili mema ya kiutumishi. Ndugu zetu hawa jukumu lao ni kulinda raia na mali zao lakini baadhi yao hafanyanyi hivyo. Wamekuwa wanachukua rushwa pasipo woga. Imenitokea leo mitaa ya Bago karibu na Msata - Bagamoyo. Nilisimamishwa na...
  2. mkamandume

    Mkurugenzi Manispaa Sumbawanga unatesa Wananchi

    Hata Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mlimba naye changamoto kubwa anajfanya anajua kila kitu na Watumishi wake wengi wanahama. Anazingua sana huyu jamaa aisee, anawatesa na kuwanyanyasa Watumishi anaifanya ofisi kama mali yake.
  3. mkamandume

    Waziri Mkuu Majaliwa azuia magari ya Serikali kununulia nyanya

    wewe unajua shughuri za ufuatiliaji na mazingira ambayo yanawakabili maifisa elimu..? Embu siku moja jaribu ww na Toyota IST yako kuifuta Toyota Land Cruiser semehu inazopita. Hoja yangu miaka mitano ni sawa tu kwa kuwa magari mengi ya serikali yanafanya kazi katika mazingira magumu, lakini pia...
  4. mkamandume

    Siasa yaleta kilio kwa wakulima wa miwa bonde la Kilombero

    Poleni sana wanakilombero serikali yetu ni sikivu tunalifanyia kazi suala lenu hivi punde mtapata majibu
  5. mkamandume

    Askari wetu wa barabarani waone aibu!

    Mbona mwendo kazi hayakamatwi? Na sometimes huwa zinajazaga abiria wengi kuliko kawaida.....? Hii sio poa jamani Askari wetu muwe mnafuata maadili ya kazi
  6. mkamandume

    TANESCO Bagamoyo mnashindwa kutatua matatizo ya wateja huku mnaweka mazingira ya rushwa

    Mguzo imeoza chini hivi ninavyoandika hapa nguzo haifai na inahatarisha maisha ya watu muda wotewote itanguka na kusababisha madhara kwa watu na mali zao. Hii nguzo ipo mtaa wa mwembe yanga kata ya magomeni. tumeshaenda Tanesco kutoa taarifa yapata miezi mitatu sasa hakuna matumaini yoyote...
  7. mkamandume

    Wanaotumia hii App ya Salary Slip Self service naomba mnisaidie

    Huwezi pata salary slip za miaka hiyo bcz ni kitambo sana
  8. mkamandume

    TANESCO Bagamoyo mnashindwa kutatua matatizo ya wateja huku mnaweka mazingira ya rushwa

    TANESCO Bagamoyo mnazingua hasa kitengo cha emergence hamfanyi vizuri mnashindwa kutatua dharula wa wateja wenu kwa wakati mnaweka mazingira ya rushwa, matatizo yapo kwenye kubadilisha mita pale zipohitajika kubadilishwa, kubadilisha nguzo zilizooza nk. Mnachukulia maisha ya watu poa watu...
  9. mkamandume

    Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

    Brother peleka dogo katika shule za government kuanzia primary mpaka chuo kikuu kingereza sio ishu kama dogo yupo vizuri, kwanza asikuambie mtu zipo shule za serikali nyingi ziko vizuri kuanzia walimu, mazingira, learning materials na watoto wanafanya vizuri achana na mambo za private brother...
  10. mkamandume

    GE2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

    Gwjm Mzee wa pangaboi bin miuno isiyo mfupa amekalia kuti kavu kwenye mnazi ambalo 2020 hii litaanguka pasipo shaka kwa zambi za kungonoka, kutukana dini za watu na hata viongozi wa dini. Mimi MKAMA NDUME can't cast vote for him yy aendelee na miuno yke ya Zipompa pompa makalio meusi kama blk kiwi.
  11. mkamandume

    Ukweli kwa walimu

    Wanasiasa je? Ambao ndy watunga sheria....[emoji851]
Back
Top Bottom