Wanaotumia hii App ya Salary Slip Self service naomba mnisaidie

Mudugu

Senior Member
Mar 17, 2018
140
130
Habarini ndugu wana JF,

Naomba mnisaidie jinsi ya kulejesha account yangu kwenye program ya Salary Slip Self Service nimejalibu ku-log in nimeshindwa kila nikjalibu kuingia Inaandi uingiaji batiri (invalid logd attempt) pia nimejalibu kubofya sehemu iliyo andikwa Umesahau neno siri lakini wapi au kuna utaratibu gan mwingine wakufuata ili nifanikiwe kulejesha account yangu.

Ukweli nimechemsha wenye uelewa naomba mnisaidie.

Natanguliza shukurani kwenu.
 
Wapigie, namba zao zipo kwenye hiyo website yao, watakuuliza maswali kadhaa kuthibitisha then watai activated
 
Kubali kwamba umesahau password, itakuomba password mpya, usiweke nyingine zaidi ya check namba yako. Check namba ndo itakuwa password yako
 
Yaani pale juu nimeweka check namba
Halafu kwenye password nikaweka nyingine
Kumbe nilikuwa nakosea
Asante mkuu
Ngoja nijalibu
 
Embu jalibu na ikienderea kuwa batiri ulejee tuone tunafanyaje.
 
Mimi nilikuwa Mtumishi wa umma zaidi ya miaka 15. Niliacha kazi kabla ya hii app kuanzisha Ila check namba ninayo . Je naweza kuitumia ukifungua account ili kuona pay slips zangu za miaka iliyopita, tuseme miaka ya 90 mpaka 2008. Naomba usaidizi kuhusu hilo.
 
Habarini ndugu wana JF,

Naomba mnisaidie jinsi ya kulejesha account yangu kwenye program ya Salary Slip Self Service nimejalibu ku-log in nimeshindwa kila nikjalibu kuingia Inaandi uingiaji batiri (invalid logd attempt) pia nimejalibu kubofya sehemu iliyo andikwa Umesahau neno siri lakini wapi au kuna utaratibu gan mwingine wakufuata ili nifanikiwe kulejesha account yangu.

Ukweli nimechemsha wenye uelewa naomba mnisaidie.

Natanguliza shukurani kwenu.
Mwandiko huu kama wa bata batani ni wa mtumishi aliyeenda shule kweli?Chekechea wanakuzidi wallahi.
 
Mimi nilikuwa Mtumishi wa umma zaidi ya miaka 15. Niliacha kazi kabla ya hii app kuanzisha Ila check namba ninayo . Je naweza kuitumia ukifungua account ili kuona pay slips zangu za miaka iliyopita, tuseme miaka ya 90 mpaka 2008. Naomba usaidizi kuhusu hilo.

Huwezi pata salary slip za miaka hiyo bcz ni kitambo sana
 
Mimi nilikuwa Mtumishi wa umma zaidi ya miaka 15. Niliacha kazi kabla ya hii app kuanzisha Ila check namba ninayo . Je naweza kuitumia ukifungua account ili kuona pay slips zangu za miaka iliyopita, tuseme miaka ya 90 mpaka 2008. Naomba usaidizi kuhusu hilo.
Huu mfumo ulianza 2016
 
Back
Top Bottom