Mfumo wa elimu ni wa kiboya sana...... Shule za kata zifutwe zifundishe ufundi stadi labda itawasaidia wadogo zetu or else ni majanga juu ya majanga kwenye sekta ya elimu Tanzania.
Waalimu wana mazingira magumu kiufundishaji, wanafunzi wenyewe nao tatizo pia.... Serikali yaweza kua chanzo kikubwa cha kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne, ila naamini na hao wanafunzi nao ni tatizo maradufu.
Watoto hawaoni shida kuandika mambo ya ajabu kwenye mtihani, nidhamu ya...
Sasa kwa mwananchi kama mie ambae hata hilo bunge kuoneshwa "live" ilikua utata kidogo kufatilia kwa sababu za hapa na pale, je kutolionesha "live" si ndio ntapotea kwnye ramani kabisa?! na kama hizo footage zitakua edited wapi transparency ya serikali na mihimili yake tuliokua tunafundishwa...
Wawe(watangazaji) wanasema wanawakilisha mawazo binafsi..
huo uwazi na ukweli unadhihirishwa kwa kutoonesha mikutano ya bunge "live"?!
ni ujuha wa hali ya juu kusitisha jambo la msingi kwa sababu zisizo za msingi.
viongozi wengi ni vilaza hivyo hawana mwamko na hamasa ya kukazia mwenendo mzima wa taaluma katika shule zinazobeba majina yao....
waaaaiiii!!!!na hiyo shule ya mkuu wa nchi ndio buuure kabisa ka yy mwenyewe:frusty:
I personally liked the article though His/Her views are typically from an outsider. As for us indigenous people We have far better knowledge of our problems. Questioning our government concerning sensitive national issues are not complaints, but they seem so beacause they keep echoing almost...
hata sina wasi wasi na Livafools kabisa, kwa mechi nilizoangalia za hao jamaa they r not a big threat labda ndugu zetu man city....
tuko on fire saivi.....
kwa kipigo cha kihistoria kabisa kuwahi kutokea kati ya man utd na arsenal , 8-2 hatimaye msiba mkubwa sana umepelekwa kwa jamii ya washika bunduki wa jiji la London. kijana etu Welbeck alianzisha hiyo mvua ya mawe na kupisha njia Rooney, Ashley Young na Ji Sung....
kipa wetu bwana mdogo De Gea...
maganga mkweli umenena vema sana, mie nilikua mwanafunzi wa CoET na sasa niko CoICT kuna mengi yanayochangia ndugu zangu kudisco.
1st n foremost mfumo mzima wa elimu ya uhandisi pale CoET, ukitaka ufaulu sana somea CoET kwa kua utakutana na past pepaz na madesa ya kutosha. tunaosomea mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.