man utd aiadhibu arsenal fc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

man utd aiadhibu arsenal fc

Discussion in 'Sports' started by mKaLI_mOkO, Aug 28, 2011.

 1. mKaLI_mOkO

  mKaLI_mOkO Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwa kipigo cha kihistoria kabisa kuwahi kutokea kati ya man utd na arsenal , 8-2 hatimaye msiba mkubwa sana umepelekwa kwa jamii ya washika bunduki wa jiji la London. kijana etu Welbeck alianzisha hiyo mvua ya mawe na kupisha njia Rooney, Ashley Young na Ji Sung....
  kipa wetu bwana mdogo De Gea hakua nyuma kuonesha umahiri wake. inshort wadau vijana wa OT wamenipa raha sana leo..poleni sana ndugu zangu washika bunduki wa arsenali...
  8-2 duh! kweli "whatever City can DO, United can DO BETTER"
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hongereni.
   
 3. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ugumu upo kwa Liverpool nionavyo mimi, ila nataka kipigo kijirudie kwa wazee wa Chelsea nao waugulie maumivu
   
 4. mKaLI_mOkO

  mKaLI_mOkO Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hata sina wasi wasi na Livafools kabisa, kwa mechi nilizoangalia za hao jamaa they r not a big threat labda ndugu zetu man city....
  tuko on fire saivi.....
   
Loading...