Habari mbaya kwa 2nd year wa udsm-COET.

Engineering Bongo japani wasemeje sasa?

my dia friends engineering basics and design are the same all over the world the difference is creativity and available resource and level of education in the society do you know diferent types of engineering and what they do?

Hapo juu mkuu umenikumbusha jambo..nakumbuka wakati mie naingia chuo ulikuwa ni lazima uwe atleast na D mbili lakini juzi nimemshuhudia mdogo wangu ameomba chuo ana point 16 na amepata tena law,nikajiuliza hivi ndo ili wote wasome ama maana halisi ya kufaulu haipo tena,baadae nikajiuliza tena sasa mwenye point hizi nae anaenda chuo kikuu ni nani ataenda dplm ama sasa kwenda dplm ni failurers,sasa frm this point of view you can easily predict the ouputs..poleni sana wana 'application of maths in solving out problems'...this country bwana!!
Naomba nikupinge bwana mkubwa. Mfumo wa elimu Tz una matatizo makubwa sana. 1.Continous assesment zina matatizo.Si vizuri kujudge mtu kwa mtihani mmoja ambao unafanywa siku 1 tena kwa masaa baada ya maisha ya shule kwa miaka 4 au 2.Mtu anaweza kufeli kwa sababu haelewi au kwa sababu zingine lakini sio kipimo halisi cha IQ ya mtu. 2.Vifaa vya kujifunzia havipo kabisa.Utumiaji wa madesa haufai lakini hii ni kwa sababu mtu hana computer ,internet matatizo ,mkopo umechelewa,printing is expensive. 3.Mahusiano mabaya na wahadhiri. Sasa hata kama mwanafunzi ana uwezo mkubwa utayeyuka tu. Kwa hiyo anayefeli chuo inawezekana ana uwezo mdogo au factors zingine zingine zimechangia. Ukweli utafahamika pale ikifanyika research na tusiishie kulaumu wanachukua vilaza.Pia elimu si kutesana kama ambavyo wengi mnavyojisifu. Unaweza kusoma hyo COET bila stress kama system inaendeshwa na wenye mtazamo chanya.

umesema neno mkuu!!

hata mimi nimejifunza na kufurahia neno pia, kwani nilimuuliza mdogo wangu aliyehitimu kidato cha nne kwamba unataka kwenda udereva ili ukuze CV yako? Akaniuliza Cv ni nini? Ikiwa mimi nimefundishwa na kufundisha pia CV Kidato cha 3. Kuna haja ya kujipanga na kufahamu malengo ye2 ya milenia 2cwe Bendera fuata upepo! Wewe umeshindwa wengine wameweza vp ikiwa mlifundishwa pamoja?

Ooh bro si ivo plz i doubt abt shule yako mhh,,, du u know wot z GPA esp ya udsm!! c mbaya lahasha km vp google,,u wl get t krb dunian@

Kazeni buti; hamsomi halafu mnataka muonewe huruma. Je mngekuwa mnasoma kwa term kama sisi? Pigeni kitabu acheni kulalama

Mkuu waambie enzi zile kwa term tu ngoma 3 kwaheri hamna cha kucarry wala nini!!! nakumbuka alikuwepo ishengoma,Bogi,mayo yaani utapita wapi!!!

Tatizo linaanzia kule chini...kama msingi ni mbovu sana na hivyo ni vigumu sana kufanya vizuri huku juu.

Ila udsm noma wakuu..me mwenyewe ingawa ni ngwini bt nimeitwa kucheza mechi ya ngao ya jamii mwezi wa tisa{sup},tofaut na vyuo vngne wa2 wana Ma gpa makubwa.
Tukubaliane kwamba na wewe ni kilaza tu. Hakuna cha udsm noma wala nini!

Mi nitaanzia nyuma kidogo, inashangaza mwanafunzi anafika chuo kikuu lakini hajui hesabu kama za complex number, MAGAZIJUTO, intregral ndo usiseme kabisa. I was there at COET, intake za siku hizi zinatia aibu sana!! wanafunzi wengi wako chini sana kiviwango!!

I once asked my young brother studying at COET, "How come you finish your PCM in high school bila kujua complex number, integral, Newton Raphson Method etc? He just repplied, " Mwalimu mwenyewe aliyekuwa anatufundisha alikuwa hajui vizuri, kwa hiyo hata kufika chuo nimejitahidi". Nikasema, kumbe ni janga la kitaifa.

If you are teacher/lecturer, you will most of the time speak alone (nikimaanisha no challenges from the students) tofauti na enzi zetu, mwalimu akija shallow aibu atakayoipata hawezi kuja darasani bila kujiandaa. Siku hizi ndo aina ya wanafunzi wengi tulionao vyuo vikuu. Hakuna mategemeo makubwa sana kwani hajawa trained well tokea huko chini.
COET pale wanategemea madesa, mwalimu akiamua kutunga kama sasa walimu wengi ni wageni, basi utegemee hali kama hii!! vitabu vipo library wanafunzi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu, so how can someone call himself/herself ni mwanafunzi chuo bila kugenerate ideas kutoka kwenye vitabu? Ndo maana wengi wakishamaliza, hawana hamu ya kuendelea kusoma hizo professionals.

Mkuu ulianza fresh kukosoa mfumo mzima wa wanafunzi wetu kwamba hawajitumi na hawajui hizo complex number, Nilikuwa coet miaka kama mitatu imepita huko MECHE enzi hizo nakumbuka 2008 mwaka wa pili walidisco kama denti 90 huku mtu mzima nikidumbiukiza ngoma mbili. Sikubaliani na wewe kama Library ya hapo UD kuna vitabu ambavyo vitaweza kumfaulisha denti wa second year masomo ya akina Mayo, Ndumbalo, Nyahoro wengine siwakumbuki, hapo kuna magazeti ya mzalendo, uhuru,habari leo nk, mimi nilikuwa naenda library enzi zile Lwaitama anafundisha CL Mara baada ya hapo sikuingia tena mle ndani labda kwenda kugonga pepa. any way hapa ni kuwapa moyo washkaji kwani hakuna wakati mgumu kama kusikia umedisco yaani washkaji huwa wanatoa machozi kabisa. Poleni sana masela tupo pamoja katika majonzi hayo

Hiyo ndo CoET mwana,Hakuna Kulala mwanzo mwenga,Ndo inabidi ujitume ili tusipate wakandarasi wanaodondosha maghorofa!!! Poleni mlio-Disco,Msife moyo kufeli chuo sio kufeli maisha,Karibuni uraiani tujumuike wote...G.P.A 2.0 kumbe kubwa eh eh eh eh eh eh.
ni 1.8

Ila udsm noma wakuu..me mwenyewe ingawa ni ngwini bt nimeitwa kucheza mechi ya ngao ya jamii mwezi wa tisa{sup},tofaut na vyuo vngne wa2 wana Ma gpa makubwa.
Bora umeweka wazi ukilaza wako, ni udsm hiyo hyo tumepata magpa unayoyaita makubwa

Hapo juu mkuu umenikumbusha jambo..nakumbuka wakati mie naingia chuo ulikuwa ni lazima uwe atleast na D mbili lakini juzi nimemshuhudia mdogo wangu ameomba chuo ana point 16 na amepata tena law,nikajiuliza hivi ndo ili wote wasome ama maana halisi ya kufaulu haipo tena,baadae nikajiuliza tena sasa mwenye point hizi nae anaenda chuo kikuu ni nani ataenda dplm ama sasa kwenda dplm ni failurers,sasa frm this point of view you can easily predict the ouputs..poleni sana wana 'application of maths in solving out problems'...this country bwana!!
kapata chuo au chuo kikuu? Isije ikawa Manzese University

Hello jf!!wanafunzi 27 wa mwaka wa pili ktk college ya uhandisi{udsm} wanaochukua bsc in civil engineering wamedisco,na wengne wengi wanaochuka uhandisi wa fani nyingne nao wamedisco!!swali,ni masomo magum,wanafunzi hawaji2mi au unoko wa profs?

hahaaa kumbe dogo na kujitapa kila ck jf , kumbe ndo kilaza hvy una mi supp kibao, hahaaa ujue watu weny uwezo wao kimasomo c walopokaj kama wew, na hawana dharau kama wew sa unasema udsm noma kwa vile umepata supp we kilaza cjui uliendaje chuo kikuu kwanza ulitakiwa upitie dipl ndo uende huko. Dogo nkwambie ki2 maisha ya mtaani hakuna udom, mzumbe, udsm sua, muccobs, saut cjui maliza chuo uone mtaani na hao unaowaita vilaza wa vyuo vingine ndio watakao kuajiri! We kwa mwendo huu naona ukimaliza chuo utafikir jina la chuo ndo litakupatia kaz think big!

mbona uko nje ya mada mkuu,sa cjui kat yangu me nawe nan kilaza?we ndo kilaza unaeshndwa hata kuelewa nin knazungumziwa hapa..

[h=6]hizi ni takwimu toka KWENYE kinywa cha PRINCIPAL WA COET PROF. J H KHATIMA
1):TANZANIA has a shortage of 10,500 engineers[/h]2):currently in tanzania one engineer serves 4,000 people, instead of 2,000 as per international standards
HALAFU WANAENDELEA KUWALA VICHWA TU ..TUNAJUA KASUMBUA YA FOE/COET KUWA SECOND YEAR NI CHUJIO UKIPITA HAPO UNAVAA JOHO .. SASA KAMA KWELI WANATAKA KUPATA WAHANDISI KUNA MAONI NA MAPENDEKEZO NINAYO PANDE ZOTE MBILI KWA CHUO NA KWA WANAFUNZI
1) KUNA UTARATIBU ULIOJENGEKA KWA HAPO COET NA VYUO VINGI JINSI WANAVYODAHILI WANAFUNZI UNAKUTA WANAFUNZI WENGI SIO WOTE LAKINI WALIOPERFOM VIZURI PCM A LEVEL WANACHAGALIWA COURSE KAMA TELECOMUNICATION, COMPUTER ENGINGEERING NA ELECTRICAL ENGINEERING .HIVYO BASI COURSE KAMA CIVIL ENGINEERING NA MATAWI YAKE YAANI(STUCTURE,WATER RESOURCES NA TRANSPORTATION) PAMOJA NA WALE WA MECHE YAANI MECHANICAL ENG, CHEMICAL AND PROCESS ENG NA MATAWI YAKE WANAKWENDA WATU WALIOFAULU KAWAIDA KWA HIYO KUNA DHANA YA KUWA INFERIOR SANA WANAPOKUWA PALE COET NA UKITAZA PERFOM YAO INAKUWA CHINI TOFAUTI NA HAWA WA TELECOMS NA CIT NA ELECTRICAL.DHANA HII IMEJENGEKA NA IMEKUWEPO KITAMBO KWA HIYO UWIANO WA VIPANGA UNAKUWA MDOGO SANA
2) UCHAGUZI WA WASICHANA KWA KIGEZO CHA GENDER HICHI NACHO KINACHANGIA SANA KIWANGO CHA UFELI HAPO COET
3) KUNA MENTALITY ZIMEJENGEKA HAPO COET HASA KWA MA LECTURER WANATABIA ZA KUSHIKA WATU KWA KUKOMOA HASA SECOND YEAR AMBAPO HUWA KUA PRINCIPLE COURSE(CORE COURSE) NYINGI SANA
4)MTAALAA WA SECOND YEAR KWA KWELI UNA COURSE NYINGI MNO SANA WA WITH IRRELEVANT COURSE HUKU TUKIACHWA NA TEKNOLOJIA
4) WANAFUNZI HASA WA CEBE NA MECHE PUNGUZENI INFERIOR PAMOJA NA KASUMBA ZA MALECTURER WENU KUSHIKASHIKA..
ANGALIZO
JITAHIDINI KUWASHAURI WADOGO ZENU WALIO A LEVEL WACHAGUE COURSE BAADA YA KUPATA MAELEZO MAZURI PIA WASIPELEKWE NA MAKUNDI KUSOMA ONA ADHA YA WATU WA TELECOMS NA CIT SASA KWENYE SOKO LA AJIRA SASA.. WANAKUWA WAMEPORFOM VIZURI A LEVEL AMBAPO WANGEKWENDA HUKO CIVIL AHATA HIYO DISCO RATE INGEPUNGUA

maganga mkweli umenena vema sana, mie nilikua mwanafunzi wa CoET na sasa niko CoICT kuna mengi yanayochangia ndugu zangu kudisco.
1st n foremost mfumo mzima wa elimu ya uhandisi pale CoET, ukitaka ufaulu sana somea CoET kwa kua utakutana na past pepaz na madesa ya kutosha. tunaosomea mbali na CoET basi tunakua tayari na GPA za kawaida. Kusema za ukweli nionavyo mie, udahili unaofanyika Civil unachangia sana kudisco kwao. sio kua Tele CIT na Electrical ni rahisi, nakataa kwa asilimia 800% ni ngumu kama huko kwingine tu. udahili wa tele cit unaangalia kiwango cha ufaulu na siku wataanza kuchukua div 3 tele na cit definatelly watadisco wengi...hii siasa ya kila mtu asome chuo kikuu au elimu ya juu inafail na inafelisha vijana wengi. nawaonea huruma sana ndugu zangu waliodisco MUNGU awapatie nguvu ya kuvuka kipindi hiki kigumu.

we are victim of corrupted system ... sihasa everywhere
jambo la msingi ni wadogo zetu waliopo A LEVEL wasifuate mkumbo WANAPOCHAGUA COURSE na ningepengeza kuwe na utaratibu wa kuelimisha wapokuwa A LEVEL WAELEKEZWE HIZI TARATIBU ZA TCU NA LOAN BOARD KABISA

nakuunga mkono kwa asilimia nyingi sana.....wadogo zetu wanahitaji sana elimu kuhusu course za vyuo vikuu ili wasije potezana.

Udsm CONAS unaondoka hata kama una GPA ya 3,endapo departimental GPA is below 2.sup mbili from one departiment unasepa.

dah!!inauma sana mkuu,cjapata idadi kamili ya wacoet wote walodisco,nkipata ntaiweka hapa jamvini.

<br /
unaweka hili iweje.ndo maisha ya chuo.wanaoshangaa awajafika chuo.mungu wape ujasiri waliodisco.Life,why

Acha fikra fupi, unoko hakuna wewe ndo mnoko, nature ya uhandisi ndo hvyo ukikaa vibaya unaliwa kichwa, sio kusoma history au kiswahili unategemea mambo smooth, nenda college yoyote iliyo serious alafu kama failure hakuna, anzia cive-udom,coet,dit. Ndo utajua sio unoko

Back
Top Bottom