Recent content by MKAGULU HALISI

  1. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Nasisi hatukulia bali tuliamua tusiwaambukize korona ndio tukaona na nyie msitue kwetu ili msipate corona sasa kwanini manaanza kubadilisha maamuzi nakutoa maelezo yasiyokuwa na tija , kila mmoja angebaki kwake mbona manalilia kuja tz si mngepotezea tu.
  2. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Nini kilifanya walimu waanze kuwa na mishahara midogo?

    Inategemea na elimu ya mhusika lakini kwa cert 37 take home na dip 46 Bach 6 kwa wanaonza ninavyosikia
  3. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Tunawaepusha msipate corona ubaki huko kwenu ambako kuko salama , maana mkija bongo mtapata corona kwa hiyo msilalamika sana tumewafanyia wepesi zaidi
  4. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

    Kigezo chake usipate supp tangua unaanza chuo mi ninayo hiyo
  5. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ngoma ndio kama inaanza bandugu, Afrika Kusini wagonjwa 9,064 kwa siku

    Sisi tuko mashuleni huku taklibani wiiki imepita hakuna hata mwanafunzi mwenye korona so covid 19 imeisha kama ipo, ipo huko 254.
  6. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

    Hata huku yapo chini ya mapato ya mkoa yaani chini mkuu wa mkoa
  7. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

    UDOM ipo college ya afya pale Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

    Usiifananishe UDOM na vyuo vingine wew nenda Udom ndio uje useme upupu huo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooo mbeya mbarali nije Mvomero au Moro mjini au ifakara mji, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania NIMEPATA CHUO SIPO KWENYE MPANGO WA KWENDA MASOMONI NIFANYEJE ILI NIENDE MWAKA HUU?

    Kaongee kirafiki na ofisa elimu kabla hujaandika barua uone atakushauriwa usimuogope yule mwalimu mwenzako
  11. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?

    UDOM ni chuo kizuri kipo top ya vyuo bora Tz na kimeanza juzi tu ,ndio hata huyo anayelalamika anamiss kwenda hapo karibu UDOM upate elimu uitakayo na mzingira na ujiandae kupiga msuli ipasavyo la sivyo utarudi home, lilikuwa tatizo la kiufundi tu
  12. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Masters application udsm

    Vigezo vya kuaply master in education GPA ya ngapi kuanzia
  13. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania KUTUMA APPLICATION ZA UALIMU ZINAANZA LINI?

    Thanks kaka
  14. MKAGULU HALISI

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaopata ufaulu mdogo ndio wanaokuwa walimu

    Kwasasa fani ya ualimu ndio inayochukua watu walifaulu kuliko fani zingine zote bila kuwa na dvn 1_3 huwezi kwenda kusomea ualimu usiendeleee kulalaa usingizi mzito hivyo
Back
Top Bottom