Ukweli mchungu: Vyuo vya dini kama Tumaini, TEKU, SAUT, N.K ni viwango duni

Tha Havard of Africa MCC.
Screenshot_20200224-093116_1584779755824.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongea facts sijasingizia kitu ndio maana nimeiita "ukweli mchungu"

Kwa advance wako poa mkuu, shule kibao kama swilla na uwata na nyingine zinafanya vizuri, kuamka ni saa kumi na nusu na kuna mboko za kutosha, ubaya ni kwamba vyuoni huwezi tumia mbinu hizi
Kuamka sa kumi na nusu na hizo mboko ndio kielelezo cha ubora wa elimu? hiyo swila itoe hapo unaharibu tu ...msalimie F. Inega

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Kufutiwa kudahili wanafunzi wa degree mara kwa mara, Wengi tumeshudia vyuo kibao vya watukufu0 hivi vinavyoanzia na saint xxx vikifutiwa mno udahili, Teku nahisi ni kinara

2. Huko vyuo vya uislamu nako ni vituko , hairuhusiwi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume isipokuwa awepo mtu wa tatu, 2012 nakumbuka kuna wanafunzi walifukuzwa chuo cha morogoro kwa kujihusisha na mapenzi, Yani chuo hiki nikaona ni kama sekondari tu.

3. Mishahara kiduchu, Ukiona tu hali ya walimu ni za huruma, Kuna rafiki yangu alipata kazi hivi vyuo kufundisha degree ila akawa anapewa laki 6 kama na hapo kuna kucheleweshewa hata miezi miwili, inabidi uwe na uvumilivu, Kuna migomo ya walimu kulipwa kidogo na kucheleweshewa mishahara tumeishuhudia.
.
4.Mrundikano wa masomo, hadi kifaransa utakisoma kwa lazima na hata uwe mwislamu utajifunza ukristo, nakumbuka wanafunzi wa SAUT kuna kipindi waligoma kuhusu hii ishu, Ila hadi leo mambo yanaendelea haya.

5. Ada kubwa, unakuta chuo ada karibia 2M

6.Kwenye suala la wahitimu wa hivi vyuo kwenda kufundisha vyuo vingine vya serikali inakuwa ngumu sana, sijui kwanini wanakataliwaga, Ila mhitimu wa chuo cha serikali kwenda kufundisha huko huwa ni Neema kubwa.

6. Viongozi na Walimu kuwa na elimu ndogo, Mimi hapa chuo cha SAUT Mbeya nashangaa eti mkuu wa chuo (Principal) ni Mchungaji 😂 😂 😂 😂 kasomea theology wakati ukienda vyuo vingine hivi vitu inabidi uwe na PHD kabisa za mambo ya uongozi tena kuna mchujo na interviews kabisa, hupewi kuholela.

7. Walimu kuwa under qualified (chini ya kiwango) - wahitimu wa degree wanafundisha degree wenzao!!! Kweli hii ni haki!!! na wanafanya hivi nadhani ili kuepukana na gharama za kuajiri wenye masters, CPA, phd, n.k. Ushahidi nnishautoa wa huyo dogo alielipwa mshahara wa laki 6

8.Kukosekana kwa hduma za wifi, nimepiga uchunguzi vyuo vya saut mbeya na Teku hawana hivi vitu, Naonaga wanafunzi huwa wanaenda vyuo kama TIA, MUST na Mzumbe ili kupata wifi, Aibu sana hii.

9. Undugu na kujuana - ukiangalia tu uongozi wa hivi byuo ni mambo ya kujuana juana na aundugu.

Kuna vituko vingine kama mwaka flani chuo cha TEKU kilifungiwa mageti na jiji kwasababu hawakulipa tozo, ilikuwa ni aibu.

Kwa hali hii haya makanisa yaendelee kujikita na shule za sekondari ila huku vyuoni wamevamia, Na nimpongeze raisi alivyosema wanafunzi wawe wanajichagulia vyuo maana ile TCU ambayo wanafunzi walikuwa wanapangiwa vyuo ilifaidisha sana hivi vyuo, unakuta mwanafunzi anasukumiwa tu hivyo hivyo hata kama hakipendi chuo
OK unadhani hizo changamoyo umeorodheshA watazifanyia kazi,

Lakini ujue kuwa population yetu imeongezeka sana bado tunavihitaji vyuo ya binafsi na taasisi za kidini,

hivyo basi wewe nami kama wadau tunatakiwa kuboresha hivi vyuo vyetu vikidhi viwango vya kimataifa
 
1.Kufutiwa kudahili wanafunzi wa degree mara kwa mara, Wengi tumeshudia vyuo kibao vya watukufu0 hivi vinavyoanzia na saint xxx vikifutiwa mno udahili, Teku nahisi ni kinara

2. Huko vyuo vya uislamu nako ni vituko , hairuhusiwi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume isipokuwa awepo mtu wa tatu, 2012 nakumbuka kuna wanafunzi walifukuzwa chuo cha morogoro kwa kujihusisha na mapenzi, Yani chuo hiki nikaona ni kama sekondari tu.

3. Mishahara kiduchu, Ukiona tu hali ya walimu ni za huruma, Kuna rafiki yangu alipata kazi hivi vyuo kufundisha degree ila akawa anapewa laki 6 kama na hapo kuna kucheleweshewa hata miezi miwili, inabidi uwe na uvumilivu, Kuna migomo ya walimu kulipwa kidogo na kucheleweshewa mishahara tumeishuhudia.
.
4.Mrundikano wa masomo, hadi kifaransa utakisoma kwa lazima na hata uwe mwislamu utajifunza ukristo, nakumbuka wanafunzi wa SAUT kuna kipindi waligoma kuhusu hii ishu, Ila hadi leo mambo yanaendelea haya.

5. Ada kubwa, unakuta chuo ada karibia 2M

6.Kwenye suala la wahitimu wa hivi vyuo kwenda kufundisha vyuo vingine vya serikali inakuwa ngumu sana, sijui kwanini wanakataliwaga, Ila mhitimu wa chuo cha serikali kwenda kufundisha huko huwa ni Neema kubwa.

6. Viongozi na Walimu kuwa na elimu ndogo, Mimi hapa chuo cha SAUT Mbeya nashangaa eti mkuu wa chuo (Principal) ni Mchungaji kasomea theology wakati ukienda vyuo vingine hivi vitu inabidi uwe na PHD kabisa za mambo ya uongozi tena kuna mchujo na interviews kabisa, hupewi kuholela.

7. Walimu kuwa under qualified (chini ya kiwango) - wahitimu wa degree wanafundisha degree wenzao!!! Kweli hii ni haki!!! na wanafanya hivi nadhani ili kuepukana na gharama za kuajiri wenye masters, CPA, phd, n.k. Ushahidi nnishautoa wa huyo dogo alielipwa mshahara wa laki 6

8.Kukosekana kwa hduma za wifi, nimepiga uchunguzi vyuo vya saut mbeya na Teku hawana hivi vitu, Naonaga wanafunzi huwa wanaenda vyuo kama TIA, MUST na Mzumbe ili kupata wifi, Aibu sana hii.

9. Undugu na kujuana - ukiangalia tu uongozi wa hivi byuo ni mambo ya kujuana juana na aundugu.

Kuna vituko vingine kama mwaka flani chuo cha TEKU kilifungiwa mageti na jiji kwasababu hawakulipa tozo, ilikuwa ni aibu.

Kwa hali hii haya makanisa yaendelee kujikita na shule za sekondari ila huku vyuoni wamevamia, Na nimpongeze raisi alivyosema wanafunzi wawe wanajichagulia vyuo maana ile TCU ambayo wanafunzi walikuwa wanapangiwa vyuo ilifaidisha sana hivi vyuo, unakuta mwanafunzi anasukumiwa tu hivyo hivyo hata kama hakipendi chuo
Kumbeee!
Ndio maana magraduesheni hujaa majoho na mabaraghashia utadhani harusi kumbe hamna kitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeki, kozi ambayo inabidi iwe masomo matano huko ambako unasema hamna matatizo wanasoma masomo kumi, kwa ufupi kuna matatatizo, Kaka na dada zenu walilalamikaga sana hizi ishu ila sasa hao wachungaji sijui kama wataelewa, Yani hii ni kozi ya uhasibu ila cha kushangaza uzito wa somo la basic english unafanana na uzito wa masomo ya uhasibu, Kaeni chini na hao wachungaji aisee

Mtoa mada anazo sababu za msingi haliwezekani unit zinafanana km maharage hivyo
 
1.Kufutiwa kudahili wanafunzi wa degree mara kwa mara, Wengi tumeshudia vyuo kibao vya watukufu0 hivi vinavyoanzia na saint xxx vikifutiwa mno udahili, Teku nahisi ni kinara

2. Huko vyuo vya uislamu nako ni vituko , hairuhusiwi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume isipokuwa awepo mtu wa tatu, 2012 nakumbuka kuna wanafunzi walifukuzwa chuo cha morogoro kwa kujihusisha na mapenzi, Yani chuo hiki nikaona ni kama sekondari tu.

3. Mishahara kiduchu, Ukiona tu hali ya walimu ni za huruma, Kuna rafiki yangu alipata kazi hivi vyuo kufundisha degree ila akawa anapewa laki 6 kama na hapo kuna kucheleweshewa hata miezi miwili, inabidi uwe na uvumilivu, Kuna migomo ya walimu kulipwa kidogo na kucheleweshewa mishahara tumeishuhudia.
.
4.Mrundikano wa masomo, hadi kifaransa utakisoma kwa lazima na hata uwe mwislamu utajifunza ukristo, nakumbuka wanafunzi wa SAUT kuna kipindi waligoma kuhusu hii ishu, Ila hadi leo mambo yanaendelea haya.

5. Ada kubwa, unakuta chuo ada karibia 2M

6.Kwenye suala la wahitimu wa hivi vyuo kwenda kufundisha vyuo vingine vya serikali inakuwa ngumu sana, sijui kwanini wanakataliwaga, Ila mhitimu wa chuo cha serikali kwenda kufundisha huko huwa ni Neema kubwa.

6. Viongozi na Walimu kuwa na elimu ndogo, Mimi hapa chuo cha SAUT Mbeya nashangaa eti mkuu wa chuo (Principal) ni Mchungaji 😂 😂 😂 😂 kasomea theology wakati ukienda vyuo vingine hivi vitu inabidi uwe na PHD kabisa za mambo ya uongozi tena kuna mchujo na interviews kabisa, hupewi kuholela.

7. Walimu kuwa under qualified (chini ya kiwango) - wahitimu wa degree wanafundisha degree wenzao!!! Kweli hii ni haki!!! na wanafanya hivi nadhani ili kuepukana na gharama za kuajiri wenye masters, CPA, phd, n.k. Ushahidi nnishautoa wa huyo dogo alielipwa mshahara wa laki 6

8.Kukosekana kwa hduma za wifi, nimepiga uchunguzi vyuo vya saut mbeya na Teku hawana hivi vitu, Naonaga wanafunzi huwa wanaenda vyuo kama TIA, MUST na Mzumbe ili kupata wifi, Aibu sana hii.

9. Undugu na kujuana - ukiangalia tu uongozi wa hivi byuo ni mambo ya kujuana juana na aundugu.

Kuna vituko vingine kama mwaka flani chuo cha TEKU kilifungiwa mageti na jiji kwasababu hawakulipa tozo, ilikuwa ni aibu.

Kwa hali hii haya makanisa yaendelee kujikita na shule za sekondari ila huku vyuoni wamevamia, Na nimpongeze raisi alivyosema wanafunzi wawe wanajichagulia vyuo maana ile TCU ambayo wanafunzi walikuwa wanapangiwa vyuo ilifaidisha sana hivi vyuo, unakuta mwanafunzi anasukumiwa tu hivyo hivyo hata kama hakipendi chuo
Kwa hiyo MUM ndio chuo bora au sio?
 
1.Kufutiwa kudahili wanafunzi wa degree mara kwa mara, Wengi tumeshudia vyuo kibao vya watukufu0 hivi vinavyoanzia na saint xxx vikifutiwa mno udahili, Teku nahisi ni kinara

2. Huko vyuo vya uislamu nako ni vituko , hairuhusiwi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume isipokuwa awepo mtu wa tatu, 2012 nakumbuka kuna wanafunzi walifukuzwa chuo cha morogoro kwa kujihusisha na mapenzi, Yani chuo hiki nikaona ni kama sekondari tu.

3. Mishahara kiduchu, Ukiona tu hali ya walimu ni za huruma, Kuna rafiki yangu alipata kazi hivi vyuo kufundisha degree ila akawa anapewa laki 6 kama na hapo kuna kucheleweshewa hata miezi miwili, inabidi uwe na uvumilivu, Kuna migomo ya walimu kulipwa kidogo na kucheleweshewa mishahara tumeishuhudia.
.
4.Mrundikano wa masomo, hadi kifaransa utakisoma kwa lazima na hata uwe mwislamu utajifunza ukristo, nakumbuka wanafunzi wa SAUT kuna kipindi waligoma kuhusu hii ishu, Ila hadi leo mambo yanaendelea haya.

5. Ada kubwa, unakuta chuo ada karibia 2M

6.Kwenye suala la wahitimu wa hivi vyuo kwenda kufundisha vyuo vingine vya serikali inakuwa ngumu sana, sijui kwanini wanakataliwaga, Ila mhitimu wa chuo cha serikali kwenda kufundisha huko huwa ni Neema kubwa.

6. Viongozi na Walimu kuwa na elimu ndogo, Mimi hapa chuo cha SAUT Mbeya nashangaa eti mkuu wa chuo (Principal) ni Mchungaji kasomea theology wakati ukienda vyuo vingine hivi vitu inabidi uwe na PHD kabisa za mambo ya uongozi tena kuna mchujo na interviews kabisa, hupewi kuholela.

7. Walimu kuwa under qualified (chini ya kiwango) - wahitimu wa degree wanafundisha degree wenzao!!! Kweli hii ni haki!!! na wanafanya hivi nadhani ili kuepukana na gharama za kuajiri wenye masters, CPA, phd, n.k. Ushahidi nnishautoa wa huyo dogo alielipwa mshahara wa laki 6

8.Kukosekana kwa hduma za wifi, nimepiga uchunguzi vyuo vya saut mbeya na Teku hawana hivi vitu, Naonaga wanafunzi huwa wanaenda vyuo kama TIA, MUST na Mzumbe ili kupata wifi, Aibu sana hii.

9. Undugu na kujuana - ukiangalia tu uongozi wa hivi byuo ni mambo ya kujuana juana na aundugu.

Kuna vituko vingine kama mwaka flani chuo cha TEKU kilifungiwa mageti na jiji kwasababu hawakulipa tozo, ilikuwa ni aibu.

Kwa hali hii haya makanisa yaendelee kujikita na shule za sekondari ila huku vyuoni wamevamia, Na nimpongeze raisi alivyosema wanafunzi wawe wanajichagulia vyuo maana ile TCU ambayo wanafunzi walikuwa wanapangiwa vyuo ilifaidisha sana hivi vyuo, unakuta mwanafunzi anasukumiwa tu hivyo hivyo hata kama hakipendi chuo
Vyuo vya serikali vilianza nuda mrefu sana na vinapendelewa sana na serikali yenyewe having ruzuku vinategemea ada kujiendesha unategemea vifanane na vyuo vya serikali?
Kimsingi pamoja na uchanga wao bado vinafanya vizuri sana, watu wengi wenye sifa za kusoma vyuo wamekosa nafasi vyuo vya umma na wameweza kusoma vyuo hivyo na wanafanya vizuri sana katika taaluma yao.
Umahiri Wa mwanafunzi unatokana na bidii ya mwanafunzi mwenyewe haijarishi unasoma wapi wrka bidii,utafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom