Kati ya mifumo hyo miwil up mgumu kishuleSi kweli, unatakiwa kuwa na G.P.A kuanzia 2.7 kama utasoma kwa mfumo wa coursework and dissertation( utaingia class , utafanya assignments, UE na mwisho research ).
Kama utafanya kwa thesis unatakiwa kuwa na G.P.A kuanzia 3.5, mfumo huu hautoingia class kufundishwa, hautofanya assignments wala UE... utafanya research tu.
Kaka naomba nipm namba yakoHabarini, kwa mtu yoyote mwenye kupata shida au swali kwenye application za Masters udsm unaweza kuniuliza swali nikakusaidia, au kama unahitaji maelezo kuhusu courses ambazo ni computer related kwa udsm unaweza nicheki inbox pia.
Kwa sasa kaa mbali na Masters by thesis kwani ukifaulu kama uko serikalini au kwenye mashirika yake hawaitambui hiyo degree wanasema haina GPA na wao wamekariri degree lazima iwe na GPA. Utashangaa mpaka vyuo vikuu kuna watu hilo limewakumba na linaumiza kwa kweli.Si kweli, unatakiwa kuwa na G.P.A kuanzia 2.7 kama utasoma kwa mfumo wa coursework and dissertation( utaingia class , utafanya assignments, UE na mwisho research ).
Kama utafanya kwa thesis unatakiwa kuwa na G.P.A kuanzia 3.5, mfumo huu hautoingia class kufundishwa, hautofanya assignments wala UE... utafanya research tu.
Unaweza niuliza swali linalohusiana na application za masters kwa ujumla masters ya udsm in general. ... kama unataka details zaidi basi swali liwe kuhusu courses ambazo ni computer related kwa sababu niko college ya CoICT
Karibu Fulgent careers kwa ushauri na muongozo kwa gharama ya tsh 5000 tu.Sorry . vip kupata masters za nje ya nchi hasa ujerumani Kwa maana ya scholarship kuna sehemu ?
Karibu Fulgent Careers utajibiwa maswali yako yote ,utapewa ushauri na muongozo kuhusiana na masuala yote ya elimu .Tuma ujumbe kwenda namba 0769 524 022 utajibiwa na kupewa maelekezo .Nimesoma bachelor of science with education.naweza kusoma masters gan nje na education??
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu. Utajibiwa maswali yako yote kwa gharama ya Tsh 5000 tu.Nimesoma bcom in banking and financial services
Je naweza chukua masters gani udsm?
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.GPA ya 2.5 vipi naweza soma masters hata nje ya ud yani abroad au haiwezekani?