Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?

UDOM ni chuo kizuri kipo top ya vyuo bora Tz na kimeanza juzi tu ,ndio hata huyo anayelalamika anamiss kwenda hapo karibu UDOM upate elimu uitakayo na mzingira na ujiandae kupiga msuli ipasavyo la sivyo utarudi home, lilikuwa tatizo la kiufundi tu
 
Alafu bado unachaguliwa hapo hapo kozi ya IT aaah aaah aaah pumba tupu dadek
Hii kitu inanipa shida sana, unakuta chuo kinatoa program za IT lakini systems zao shida tupu. Toka UDOM wametoa tangazo la walio chaguliwa non-degree studies hakuna kincho funguka. Hapo hapo wanakuambia joining instructions utazipata kwenye profile yako.
Hata sijui wanao omba round ya pili wanafanyaje-au ni computer yangu tu ndio inashindwa kuingia huko?
 
Hilo ni tatizo la uongozi utawala wa chuo, kwahiyo chuo kikipata matatizo ya kisheria unataka collage ya law ndio itupiwe lawama au daktari akizingua hospital ya benjamini mkapa tuseme ni sababu ya collage tiba?
 
Hapa sio kutupiana lawama. TUNATAKA tatizo litatuliwe. Sasa kama hao wanao mafundi na sisi tuna teseka unafikiri tutawafikiriaje? haijalishi sisi wenye akili za kilaymen hatuoni umahiri wao na tutaogopa kupeleka vijana huko. Chuo chenye top IT personnel kinatakiwa kiwe vizuri kwenye IT systems zake. Unajua wale wanao rank vyuo kwa kutumia website za chuo wanaunganisha unavyojieleza na rank yako.
 
Back
Top Bottom