Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.
Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za...
Mkuu naomba msaada kujua unapopata spare za tractor ya belarus. Nahangaika sana kupata spare hapa Tanzania. Kuna mzungu mmoja awali alikuwa anauza pale moro lkn naona siku hizi ameacha.
We mkuu ovyoo kabsa. Shule nyingi sana zimeanzisha huu mtindo, mi niliwaambia kabsa msiniletee ujinga, mwanangu hatakaa bweni na shule atasoma. Wanalazimisha bweni ili kupata pesa zaidi, lkn malezi ya watoto yapo hatarini sana. Mtoto anarudi amebadilika tabia hadi unamshangaa. Jirani yangu...
TTCL ni wezi aisee. Bundle zao hazina uhalisia na ukiwafuata wanakuwa na maelezp ambayo hayana maana yoyote. Niliachana na line ya TTCL baada ya kuliwa GB zaidi ya 15 kwa masaa. Nikanunua tena zikaliwa. Nikanunua tena zikaliwa. Nikawauliza inawezekanaje ndani ya masaa machache GB zaidi ya 15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.