Msaada: Umadhubuti wa tractor za Afrika kusini

mkada

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,203
2,000
Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za Pakistani zinaonekana sio nzuri kwa uimara, na used za UK zinaonekana ziko kuukuu sana.

Ila hizi za Afrika zinapendeza sana kwa macho ukiziona. Ni kama mpya kabsa. Msaada please.
 
ahmed omar

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
223
250
Contact Hawa jamaa wanaaminika
Screenshot_20211031_164200_com.whatsapp.jpg
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,688
2,000
Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za Pakistani zinaonekana sio nzuri kwa uimara, na used za UK zinaonekana ziko kuukuu sana.

Ila hizi za Afrika zinapendeza sana kwa macho ukiziona. Ni kama mpya kabsa. Msaada please.
Mkuu katika Massey Ferguson imara na bora ni kama ifuatavyo.
Namba 1 ni ya Uingereza
Namba 2 ni ya Afrika Kusini....hii haipishani sana na ya Uingereza
Namba 3...inaweza kuwa ya Pakistani

Hiyo ya South Afrika chukua ikiwa utakuwa umependa bei.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,887

Jinsi ya kupata hayo ya SA ikoje. Tupeni watu wa uhakika sio hawa magumashi mitandaoni.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,887
2,000
Mkuu kuna matapeli ya Kinaijeria wengi mno wanakupa bei nzuri ukituma hela tractor aliji! Kuhusu Ubora Tractor za South Africa zipo Vizuri sana na imara pia.
Tunazipataje sasa,bei zao ni nzuri sana nimependa New Holland T75 na MF290 ila naogopa kupigwa
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,088

ngoja nikuombee jina la kampuni ya ukweli ambako my Bro aliagiza na lilifika kama alivyoagiza.kisha ntakupa contacts zao uwasiliane nao- matapeli wengi wanatumia Gmail/yahoo emails na pia bank acc wanakupa ya jina la mtu mwishoni na sio Kampuni husika.alafu Website zao mara nyingi zinashia na .com na sio .za(south Africa) .tz .uk .de etc..
 
Hapo utakuwa umetisha sana,nataka mwezi huu usiishe. Swaraj tayari,sasa nataka New Holland au MF
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,088
2,000
Hivi gharama za kwenda SA siku mbili tatu ni kiasi gani. Kuna mzungu amenipa details za New Holland TT75 4WD imetembea 1000hrs. Mpaka Bongo ni Tzs 20m. Sasa kwa nini nisiifata mwenyewe?
Dar Johanesburg Nauli ya Bus ni laki 3.Via Nakonde Tunduma Border .Tatizo Road act ya South Africa Trector alitakiwi kuendeshwa kwenye highway zao(lazima Ulibebe.So utoweza kwanza Sheria zinazuia pili ni zaidi ya KM 10,000.Atatumia mafuta meli mzima🤣🤣.Kuna Tracks zinazoleta beer toka Sabmiller .lakini garama ni 8M kubeba trekta to Dar.Meli ni Cheap kidogo
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
36,887
2,000
ngoja nikuombee jina la kampuni ya ukweli ambako my Bro aliagiza na lilifika kama alivyoagiza.kisha ntakupa contacts zao uwasiliane nao- matapeli wengi wanatumia Gmail/yahoo emails na pia bank acc wanakupa ya jina la mtu mwishoni na sio Kampuni husika.alafu Website zao mara nyingi zinashia na .com na sio .za(south Africa) .tz .uk .de etc..
Mrejesho kaka
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,070
2,000
Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya Rand 150,000.

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu, uimara na umadhubuti wa hizi tractor kwani za Pakistani zinaonekana sio nzuri kwa uimara, na used za UK zinaonekana ziko kuukuu sana.

Ila hizi za Afrika zinapendeza sana kwa macho ukiziona. Ni kama mpya kabsa. Msaada please.
Hivi sijuwi watu mna akili gani...unashindwa nini kuweka hizo picha zake hapa ili tuzijadili unatuletea porojo tu?
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,764
2,000
Hivi gharama za kwenda SA siku mbili tatu ni kiasi gani. Kuna mzungu amenipa details za New Holland TT75 4WD imetembea 1000hrs. Mpaka Bongo ni Tzs 20m. Sasa kwa nini nisiifata mwenyewe?
Halafu urudi unaiendesha au utaipakia kwenye carrier ? Au labda unatoka huku na gari binafsi ya kuibeba hiyo tractor huko ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom