Msaada: Umadhubuti wa tractor za Afrika kusini

Mkuu katika Massey Ferguson imara na bora ni kama ifuatavyo.
Namba 1 ni ya Uingereza
Namba 2 ni ya Afrika Kusini....hii haipishani sana na ya Uingereza
Namba 3...inaweza kuwa ya Pakistani

Hiyo ya South Afrika chukua ikiwa utakuwa umependa bei.
Barikiwa sana. Huwezi amini jibu lako lina umuhimu gani kwangu. Nitakupa mrejesho.
 
Back
Top Bottom