Dah kuna mfanyabiashara mmoja alikuwa na utajiri wa majumba,magar ya biashara,maduka na maghara ya kuhifadhia mizigo ton kwa ton,but ulivyoingia utawala ule,alianza kufilisiwa kimoja badala ya kingine,
Alikimbia mji,na kurudi kwao rombo sidhani hata alikuwa na akiba ya 100k
Hii iliwahi nitokea miaka hiyo napokea "boom" waliniambia hii pesa "ilipigwa" nilisumbuliwa sana mpaka nikaenda kwa meneja wa kanda town
Niliingiziwa pesa lakini walinikata gharama ya kuingiziwa pesa,yaani nawadai 100k,wakaweka 98500
Na benki ni hiyo hiyo mpaka leo sina imani nao
Eti kisa sikuleta nilichoagizwa,akaniambia nimuombe msamaha,kwa kupiga magoti.
Nikamwambia sifanyi huo ujinga,mbona alizaa vizuri tu
Vingine Usipelekeshwe tu kama ling'ombe.
Utt amis ni soko la hisa,
Hisa sokoni zinaweza kupanda au kushuka unatakiwa ulijue hilo,na ulielewe
Usije ukaleta fujo,siku unaambiwa mil 10 yako thamani yake imeshuka mpaka 4m.
hadithi za kufikirika
1.Hakuna tapeli mjinga wa kutoa elfu kumi ya soda kila anapokuja kufanya muamala.
2.Hulka ya binadamu lazima ustuke,faida ya muamala mmoja tu haifiki hata 5000.
mathalani mtu akitoa 3,000,000 Faida/Mrejaa/Commission ya wakala ni SH 2500 tu.
mtu akiweka 1,000,000 faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.