Business partner mwenye mtaji usio chini ya milioni 10

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.

Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho.

Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara.

Faida Tutagawana Half Half

Usimamizi wa Biashara nategemea atakua yeye kwani binafsi nina mambo mengine nafanya hivyo yeye atakua akiwa kama moja ya Wauzaji wa Bidhaa tunazo/ziuza.

Mtaji usiwe chini ya 10m
Uwe Tayari kukaa ofisini

Partner ambae unataka ku invest pesa tu ukae ofisini usubiri Faida HAPANA,Nahtaji mtu tutakae kuwa nae FRONT. kwa PAMOJA kusuia upotevu wa pesa kwa wafanyakazi.

BIASHARA hii sio Mpya ni endelevu hivyo mchanganuo wake kwa atakaekua serious tuonane PM.

Mkazi ni LAZIMA uwe DAR/MAKUMBUSHO ndipo DUKA/OFISI ilipo.

Karibu ujioneee ofisi na kisha ufanye maamuzi sahihi.

PM ipo wazi kwa atakae kuwa interested.

KARIBU
 
Hayo mambo mengine utakayokuwa unafanya ni yako binafsi ama ni ya biashara ya pamoja?

Maana umesema utakuwa na mambo mengine unafanya. Lakini hutaki kwa namna yeyote ambaye ataweka pesa tu na kupotea kusubiri gawio.
 
Nawekeza Pesa yangu lakini shurti niwepo full time.
Wewe umeweka zako ila hupo una mambo yako.
Aliekuambia mimi sina yangu mengine nani?
'Nafikiria kwa makelele'
 
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.

Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho.

Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara.

Faida Tutagawana Half Half

Usimamizi wa Biashara nategemea atakua yeye kwani binafsi nina mambo mengine nafanya hivyo yeye atakua akiwa kama moja ya Wauzaji wa Bidhaa tunazo/ziuza.

Mtaji usiwe chini ya 10m
Uwe Tayari kukaa ofisini

Partner ambae unataka ku invest pesa tu ukae ofisini usubiri Faida HAPANA,Nahtaji mtu tutakae kuwa nae FRONT. kwa PAMOJA kusuia upotevu wa pesa kwa wafanyakazi.

BIASHARA hii sio Mpya ni endelevu hivyo mchanganuo wake kwa atakaekua serious tuonane PM.

Mkazi ni LAZIMA uwe DAR/MAKUMBUSHO ndipo DUKA/OFISI ilipo.

Karibu ujioneee ofisi na kisha ufanye maamuzi sahihi.

PM ipo wazi kwa atakae kuwa interested.

KARIBU
cc@CONTROLA
cc Issuna
Hawa watu jaribu kuwacheki mmojawapo anaweza kufanya kazi nawe..

Na bado
 
Kwa wanao Uliza Biashara Gani, hamna hata mmoja nimemwambia zaidi ya kuwambia walionserious wafike eneo la biashara waione.

Sitegemei kumwambia mtu aina ya biashara kama hatoamua kusimama alipo na kufika Eneo la Tukio, Tuwe Serious Ndugu Zangu si Kila Kitu ni cha kuulizana.

Naomba watakaohutaji Kufika OFISINI nipo tayari kuwaelekeza ila mliokaa sehemu mmetulia mnauliza aina gani ya biashara ili kuchorana binafsi nawaelewa aina hiyo ya watu hivyo sitowatajia.

Ulie SERIOUS karibu ofisini lets Meet Face to Face.
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba unatafta meneja wa biashara yako,
Kigezo muhimu aweze kuchangia 10ml.
its like kama unakuja kuja lakini haipo hivyo maana hata sasa ninaweza manage na hamna kilichomiss.

ni swala tu la kupeana fursa, na kukumbuka kuwa Ukitaka Kufanikiwa zaidi Tafuta Wa kwenda Nae.
 
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.

Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho.

Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara.

Faida Tutagawana Half Half

Usimamizi wa Biashara nategemea atakua yeye kwani binafsi nina mambo mengine nafanya hivyo yeye atakua akiwa kama moja ya Wauzaji wa Bidhaa tunazo/ziuza.

Mtaji usiwe chini ya 10m
Uwe Tayari kukaa ofisini

Partner ambae unataka ku invest pesa tu ukae ofisini usubiri Faida HAPANA,Nahtaji mtu tutakae kuwa nae FRONT. kwa PAMOJA kusuia upotevu wa pesa kwa wafanyakazi.

BIASHARA hii sio Mpya ni endelevu hivyo mchanganuo wake kwa atakaekua serious tuonane PM.

Mkazi ni LAZIMA uwe DAR/MAKUMBUSHO ndipo DUKA/OFISI ilipo.

Karibu ujioneee ofisi na kisha ufanye maamuzi sahihi.

PM ipo wazi kwa atakae kuwa interested.

KARIBUmuwekege namba za, simu...
 
Back
Top Bottom