Hiyo ni ileee sinema ya contener la visu la cuf wakati wa IGP Mahita,na wakati wa Richmond mkapelekwa kwa babu Loliondo,sasa ni mchakato wa katiba,propoganda ni ugaidi ili katiba msahau,chezea ccm wewe,mtabutuzwaaa mpaka kamasi zitokee mdomoni,ukweli kwa akili ya haraka,nikiangalia hao...
Wewe mazimbu ni ------ tu km mtoa mada wote ni mbumbumbu nendeni mkanyonye,hamuelewi historia ya kweli ya nchi hii,na kawaida ukitaka kutoa mada yoyote,kwanza uwe mkweli na ufanye utafiti siyo kukulupuka tuu,na kujifanya unaongea masuala ya dini,
Umeongea vizuri sana dada,ila kupata mwanamke mwenye hekima kama ulivyotaja ni bahati na inategemea wazazi wake walimlea katika maadili mema,na dunia ya leo mwanamke km huyo ni kipusa yaani mali adimu!!,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.