hi to all jf members....!

hi to all jf members....!

Haya karibu... Ila chunga mizigo yako.
 
anikague kwan cjijui??? we kakukagua?

Kukaguliwa si ombi ni lazima.... Kama hutaki rudi huko huko utokako.

Na ukileta ubishi namuambia mwenyekiti Baba V akulime ban.
 
Last edited by a moderator:
Kukaguliwa si ombi ni lazima.... Kama hutaki rudi huko huko utokako.

Na ukileta ubishi namuambia mwenyekiti Baba V akulime ban.

haaaa bora mnikague tena mje wana jf wote maana naipenda sana jf....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom