Internet ni project CIA - rusia

Internet ni project CIA - rusia

Kaka unachosema ni sahihi soma hapa uone ni kweli USA ndiyo walianzisha mambo ya internet board kwa ajiri ya kusimamia mambo haya.Ninachotaka watanzania mjue kuhusu technology in this case internet is " you are being watched" no matter uko nchi gani kwa hiyo hilo suala ulilosema wabongo tusihofu si kweli.Ila kwa wizara nyeti au vitengo nyeti huwa haishauriwi computer zenye data muhimu(top secrete) kuwa connected kwenye internet.if you can see them they can see you,namanisha kama unaweza kwenda kwenye internet na kupata information vivyo hivyo watu wanaweza kupata information kutoka kwako.
Kwa mfano internet browsers kama IE,firefox,chrome zintunza information zako ikiwemo username na password yako ya site unazotembelea kama uamini ni PM nikuelekeze then ujionee mwenyewe.Tena kuna browser moja hapo huwa inatuma taarifa za matumiaji kila baada ya muda fulani that is why security wise huwa tuna clear browser history and cookies an kufanya mambo mengine ili kuwa salama.
pia nataka mjue kwamba technologia yeyote huwa zinaanzia majeshini,ukiona technologia imeletwa uraiani utumie jua kuna nyingine mpya ipo,mfano google map/google earth.Hii ukiwa na cordinate za eneo fulani unaweza liona na hata kufika bila kuuliza watu,kwa hiyo kabla google map hajapewa raia zilitumika na watu wa usarama kujua maeneo.Huwa najiuliza samahani lakini yale matangazo ya maeneo ya usalama "usipige picha hapa" unahisi with technology nahitaji kwenda kupiga picha?Sasa hivi kuna survillance satellite,kama unaijua survillance camera jiulize survillance satellite inakuwaje kwa hiyo Snowden alivyosema huwezi kujificha hakukosea kulingana na level ya ufahamu ya mtu anayetafutwa mfano Osama bin laden aliweza kujificha kwa muda mrefu.Unadhani kwa nini aliweza?He knew how the system work.
Kwa taarifa yako mataifa makubwa wametugawana kabisa mwingine anamonitor Africa,mwingine Uarabuni,mwingine south America information yeyote watakayopata wanaianalyse wakiona inawafaa wanachukua kama haifai wanaachana nayo so usijidanganye Tanzania huangaliwi.
Tena nahurumia africa hasa wale wapenda program za bure,unakuta kampuni wanatumia free softwares unadhani wao wajinga wakupe vitu vya bure?Kuna program zinatengenezwa kuchukua information za watu.So kwa kifupi your being watched and you are not safe 100%,kuna siku nilikuwa nasoma kitabu fulani nilishiwa nguvu baada ya kugundua kila kitu kinaonekana.
Depending on something is a weakness,je unaweza sasa kwa kuwa umezoea internet uishi bila internet?Waulize watu wa system sometimes wanatumia njia za jadi kuwasiliana na hata wakitumia za kisasa wanakuwa wameuficha ujumbe?(encrypted message).
USA si ndiyo wanatawala dunia kwa sasa,sasa huwezi kutawala watu usio wajua,kuwaona au kujua wanawaza nini?kwa hiyo,lazima USA wa fight kumake sure wanakuona,wanajua unachofanya na ulichopanga kufanya.
Home work:Ukiwa na strong antivirus kwa mfano ukascan computer yako ukakamata "trojan horse" unajua nini hasa hii?Tumia internet kujua what is a trojan horse just in case hauijui ni nini.Pia tafuta "spyware i.e spying software".
Regards
Aqua
Aqua kuna kitabu umeandika kwenye uzi wako hapo juu... kwamba umekisoma..naeza nikakipata mkuu????
" password yako ya site unazotembelea kama uamini ni PM nikuelekeze then ujionee mwenyewe."
Embu ni pm mkuu namimi nielewe!!
 
Last edited by a moderator:
Aqua kuna kitabu umeandika kwenye uzi wako hapo juu... kwamba umekisoma..naeza nikakipata mkuu????
" password yako ya site unazotembelea kama uamini ni PM nikuelekeze then ujionee mwenyewe."
Embu ni pm mkuu namimi nielewe!!
Nimesha ku PM
 
hv jaman napenda kuuliza je hapa kwetu kuna watu wa taaluma mbona sijawahi sikia hata siku moja mtu ame hack system fulani au sever ya company fulani wala hata ku develop software moja na sisi tukajivunia?

Hapa tz tunakosa hela za project
 
Mimi huwa napendelea mda wote kutumia TOR network ingawa nayo siyo 100% safe huwaga sipendelei ip adress yangu iwe public ktt masite tatizo linakuja nikitaka kulogin katika social networks account nimefungulia ip ya bongo then na login kwa ip ya nje hapo account yangu huwa wana issaspend.
 
Snowden mwenyewe alisema,namnukuu" you can not hide from those guys,they have thirteen ways to hack on you,f.uck those guys"

As long tunatumia vifaa vya elekroniki,huwezi kujificha kwa wale jamaa. Kazi tunayo mkuu.seva zote za makampuni makubwa ulimwenguni yako kwao,yahoo,gugo,watsup,viber,facebook,firefox,bing,microsoft,sijui skype,nk. Imeshakula kwetu.

Inakula kwenu kama unatumia kwa nia ovu. As long as unatumia kwa mawasiliano halali ya kijamii na kiuchumi sidhani kama kuna haja ya kuogopa.
 
Back
Top Bottom